Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Wengi wao hua wanaishi maisha ambayo ni tofauti na tambo zao,chumba kimoja kila kitu humo humo,sasa anaogopa ukimkuta na hilo life,heshima itashuka,anataka uendelee tu kuamini kua,Dar na yeye anaishi kama Mo Dewji tu.

πŸ˜€πŸ˜€
 
Mchele wenye una mawe kutaka watoto watoke meno hapana aondoke kwao πŸ˜‚πŸ˜‚
Mchele hauvimbi huu sio kama alioleta mdogo wake mwaka juzi nahisi mbegu za TARI hizi 🀣🀣🀣
 
Wengi wao hua wanaishi maisha ambayo ni tofauti na tambo zao,chumba kimoja kila kitu humo humo,sasa anaogopa ukimkuta na hilo life,heshima itashuka,anataka uendelee tu kuamini kua,Dar na yeye anaishi kama Mo Dewji tu.

πŸ˜€πŸ˜€
Ahahah kazi ipo
 
Mchele hauvimbi huu sio kama alioleta mdogo wake mwaka juzi nahisi mbegu za TARI hizi 🀣🀣🀣
Watu wa dar hapana

Mbona kabeba begi kubwa vile ana kaa siku ngapi?
 
Mtu yeye anakwambia route zake ni visiwa vya Sheri Sheri, abhu dhab kwa sanaπŸ˜…
Wengi wao hua wanaishi maisha ambayo ni tofauti na tambo zao,chumba kimoja kila kitu humo humo,sasa anaogopa ukimkuta na hilo life,heshima itashuka,anataka uendelee tu kuamini kua,Dar na yeye anaishi kama Mo Dewji tu.

πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…