Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Joto la dar msongamano wa watu ndani ya daladala foleni , yani mnaweza kusimama kwenye foleni hata masaa 3 alafu nimpishe mtu siti. Hapana kwa kweli
Ukweli ni kwamba hivi sasa dar ukitaka ufike kwa kukaaa huko uendako geuka na gari lipia buku. Sasa ukiwa mbahili kwamba 600 ikutoe gongo la mboto Hadi kibukoni itakula kwako. Mfano Leo foleni ya mwenge Hadi kufika ubungo mi 2hrs hatujaoboa hata Riverside...Habarini wana JamiiForums
Leo ndio nimejua mjini shule. Asubuh majira ya saa 5 hv nilikuwa nimepanda basi la G/MBOTO-KIVUKONI nikitokea G/MBOTO. Nilibahatika kupata siti kipindi safari inaendelea, gafla akapanda mama mmoja hivi kabeba mtoto.
Mara ya kwanza nilitake easy nikijua kuna mtu atampisha, eeh maajabu watu wamekausha utasema hawajamuona vile. Na katika viti idadi kubwa ilikuwa ni akina mama na wadada baadhi, wanaume walikuwa wachache lakini wapi, wale wanawake wakaupiga kimya basi linaenda kasi huku linatikisika mama mkono mmoja kamshika mtoto mkono wa pili kashika bomba. Watu wamekausha, uzalendo ukanishinda ikabidi niinuke nimpishe, ikabidi nisimame safari nzima.
Sasa basi halijafika mbali kaingia mmama tena kabeba mtoto, watu wamekausha. Huyu hakupata kiti ata cha huruma mpaka tulipofika M/MMOJA kuna mtu akashuka ndio akapata nafasi.
Sasa kimbembe kikaja tena jioni kipindi narudi, kuna mmama kapanda basi na mtoto watu wamekausha mpaka nikaanza kusikitika sasa kipindi navuta gia kusimama nimpishe ndio gafla yeye akamuomba mdada mmoja amshikie mtoto. Kwa bahati nzuri yule dada akaamua kumpisha kabisa.
WATU WA DAR MNAKWAMA WAPI?
Wewe unafikiri halima mdee Ana roho nzuri kwa wanawake wenzie? Kwani yeye NI uvccm?Una roho mbaya kama maccm na mauvccm
Kwenye mwendokasi vipo lakini HAKUNA anayejali.Inabidi kuwe na viti vichache kwa wazee, walemavu, wamama wenye watoto wadogo (0-5), na wagonjwa wenye cheti cha daktari.
renamaizo
Unaishi wapi HAKUNA kitu inaitwa Sumatra.Hili linawezekana kabisa....liko NDANI ya uwezo wa SUMATRA...
[emoji106][emoji106]
Nidhamu ya woga, hii hali inafanya tunaanda kizazi kisichojiamini.Kati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Ukiendekeza tabia ya kupisha watu siti kwenye vyombo vya usafiri wa umma, utajikuta unasimama kuanzia January mpaka December.Habarini wana JamiiForums
Leo ndio nimejua mjini shule. Asubuh majira ya saa 5 hv nilikuwa nimepanda basi la G/MBOTO-KIVUKONI nikitokea G/MBOTO. Nilibahatika kupata siti kipindi safari inaendelea, gafla akapanda mama mmoja hivi kabeba mtoto.
Mara ya kwanza nilitake easy nikijua kuna mtu atampisha, eeh maajabu watu wamekausha utasema hawajamuona vile. Na katika viti idadi kubwa ilikuwa ni akina mama na wadada baadhi, wanaume walikuwa wachache lakini wapi, wale wanawake wakaupiga kimya basi linaenda kasi huku linatikisika mama mkono mmoja kamshika mtoto mkono wa pili kashika bomba. Watu wamekausha, uzalendo ukanishinda ikabidi niinuke nimpishe, ikabidi nisimame safari nzima.
Sasa basi halijafika mbali kaingia mmama tena kabeba mtoto, watu wamekausha. Huyu hakupata kiti ata cha huruma mpaka tulipofika M/MMOJA kuna mtu akashuka ndio akapata nafasi.
Sasa kimbembe kikaja tena jioni kipindi narudi, kuna mmama kapanda basi na mtoto watu wamekausha mpaka nikaanza kusikitika sasa kipindi navuta gia kusimama nimpishe ndio gafla yeye akamuomba mdada mmoja amshikie mtoto. Kwa bahati nzuri yule dada akaamua kumpisha kabisa.
WATU WA DAR MNAKWAMA WAPI?
Surface and Marine Transport Regulatory Authority(Sumatra).Unaishi wapi HAKUNA kitu inaitwa Sumatra.
Siku hizi wanajiita LATRASurface and Marine Transport Regulatory Authority(Sumatra).
Hayaa
Hii ni kwel sababu yule mmama niliempisha akunipa asante lkn sometime kuna vitu havina ulazima sn wa kumshukuru mtu ivo ckujaliKati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Ilichukua km dk 15 hv watu wanamchek tu ivo ni dhahir nisingempisha watu wangekausha mbona yule wa pili hawakumpisha kaenda kasimama adi mnaz mmojaWewe ulivyompisha si ndiyo kapishwa hivyo au ulitaka daladala lote limpishe
Hatutofautiani aiseeKati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Dar hii usubir basi lenye siti utakesha stand
Uko sahihi sana mkuuKwan uyo mama mwenye mtoto kuna m2 alimlazimisha kupanda ilo bas? au hakuona kama bas limejaa?? Mngemuacha2 apambane na mtoto wake maana kapenda mwenyewe kusimama