Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

Mimi nimewahi kumpisha mzee flani kwenye bus alipokuja kukaa nikasikia ananuka pombe huku akiongea mwenyew nilijilaumu sana kumpisha siti
Yaani nimechoka nimpishe nalipa nauli mjini kila mtu na maisha yake starehe zao zitugharimu kwnye magari Kama Ana mtoto akodi tax bora nimpishe mzee kuliko mama mwenye mtoto

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la gongo la mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]
 
Mi nigeuze na gari LA gmboto -kivukoni...Tena nipandie hapa banana TCAA nilipie mpaka gomz,nilipie Tena kwenda kivukoni....alafu apande mama na mtoto sijui...eti niwapishe....



Mnawadekeza sana mkiwapisha...MTU anajua bus limejaa..basi ana mtoto si ageuze nalo????

Kwa nn ale raha kwa expense za wengine???
 
Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]
Mtoto apokelewe...apakatwe....


Sasa kama mwanao hataki au hapendi kubebwa na watu my friend utasimama nae mpaka mwisho wa safari.
 
Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la gongo la mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Tena hiace miaka iyo
 
Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]
Kama watoto ni malaika basi muache kuwasimamisha wanafunzi kwenye daladala, eti kisa wewe mkubwa upishwe seat na mwanafunzi. Mtoto kachoka katoka shuleni sie tumekazana..we mtoto nyanyuka mpishe mkubwa akae..sio siri tunawaonea sana.
Kama mwanafunzi kalipa nauli asinyanyuliwe, wewe mtu mzima simama maana umemkuta
 
Kati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Ila kweli mzee baba. Hii kitu huwa inazingua sana kusema kweli. Halafu ndio unakuta mtu ulizunguka na gari ili upate siti......
 
Imagine...Nilipata shida kipindi hicho naenda chuo nikiwa na tumbo, hakuna aliyewahi kunipisha nikae..si wamama si wababa.
Hii ya akimama kutowapisha akimama wenzao wajawazito au wenye watoto ndio inaniua nguvu kabisa
 
uzalendo ukanishinda ikabidi niinuke nimpishe, ikabidi nisimame safari nzima.
Wenzako wazalendo haujawashinda 😀

Sema nini, wanawake wanalilia haki sawa na wanaume, sasa wanpochukuliwa sawa na wanaume, sioni mkwamo hapo.
 
Ila kweli mzee baba. Hii kitu huwa inazingua sana kusema kweli. Halafu ndio unakuta mtu ulizunguka na gari ili upate siti......
Sio kila unacholipia lazima upate mfano kwenye school fees private school unalipia hospitali au matibabu lkn unasoma miaka yote ujawah kwenda dispensary ya shule
 
Wenzako wazalendo haujawashinda 😀

Sema nini, wanawake wanalilia haki sawa na wanaume, sasa wanpochukuliwa sawa na wanaume, sioni mkwamo hapo.
Haki sawa wanaoililia wale sio mnavyoitafsiri huwez kumchukua mwanamke ukampa kaz ya kubeba tofar au fund gerage hii haina tofaut na jaribio la mauaji
 
Kama watoto ni malaika basi muache kuwasimamisha wanafunzi kwenye daladala, eti kisa wewe mkubwa upishwe seat na mwanafunzi. Mtoto kachoka katoka shuleni sie tumekazana..we mtoto nyanyuka mpishe mkubwa akae..sio siri tunawaonea sana.
Kama mwanafunzi kalipa nauli asinyanyuliwe, wewe mtu mzima simama maana umemkuta
Hii hoja haipo sawa watoto ambao tayar washapata uwezo wa kujisimamia hawa wasimame tu ila wale vichanga ambao muda wote wanahitaji uangaliz wa mama ndio wasaidiwe
 
Mi nigeuze na gari la gmboto -kivukoni...Tena nipandie hapa banana TCAA nilipie mpaka Gomz,nilipie Tena kwenda kivukoni....alafu apande mama na mtoto sijui...eti niwapishe...
Watu mna roho ngumu na hz roho tunaanza kuambukizana mwisho wa cku kila mtu ataish maisha yke
 
Haki sawa wanaoililia wale sio mnavyoitafsiri huwez kumchukua mwanamke ukampa kaz ya kubeba tofar au fund gerage hii haina tofaut na jaribio la mauaji
Mbona wapo fundi garage wa kike na wabebaji zege mkuu? Ndio hio hio haki sawa wanayoililia hakuna nyengine. Hawaamini kama mwanaume anatakiwa awe msimamizi wao, wanataka wote waonekane ni sawa.
 
Kwan uyo mama mwenye mtoto kuna m2 alimlazimisha kupanda ilo bas? au hakuona kama bas limejaa?? Mngemuacha2 apambane na mtoto wake maana kapenda mwenyewe kusimama
Wanaita ni victim mentality. Yaani mtu anajifanya ni victim wa matatizo ili aonewe huruma.... Wapo wengi sana wa namna hii wanatofautiana groups tu......

Kuna wale unakuta ana kidonda kikubwa kabisa ila hataki kukitibia maana anatumia kidonda kuonewa huruma na kuomba pesa. Utaona kila siku anajitembeza nacho ili aonewe huruma.
 
Back
Top Bottom