Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

Wengine ni viherehere..unakuta magari yapo mengi yamepanga foleni hlf anakuja kupanda lililojaa. Simpishi kwa kweli..
Uko sahii kabisa...magari unakuta yapo ya nyuma wazii,mdada na kitumboo chake au mama mtu mzima,babuu anangangania kupanda lililo jaa akitegemea huruma za wajaa asee siku pishi.kuna mmoja aliniambia kijana kwenu hakuna wazee Nika mwambia walisha kufaa wote.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] wewe kauzu kweli, sio kwa jibu hilo
 
[emoji2][emoji2][emoji2] wewe kauzu kweli, sio kwa jibu hilo
Kauzu kweli kweli wanakeraa.....unataka kutumia uzee wako kuja kutunyanyasa.nakwambia daladala zima iligeuka kuniangalia mi kimya busy na simu,akaropoka abiria mmoja vijanaa wa siku hizi hadabu hakuna,nikamwambia Ni rahisi tu simamaa wewe akae....hakusimama
 
Hakuna kosa sijaliona.km gar hamna siti wazi unatakaje.Kila mtu amejichokea na mahangaiko yak
Samahani mkuu yawezakuwa hujanielewa.

Nilichomaanisha mimi ni kuwa mtoa mada kaweka case study ya mkoa wa Dar pekee lakini mimi nikasema tatizo hili lipo Tanzania nzima.
 
Tuanze na ww mleta post ,unakwama wapi,coz hata ww mwenyewe hukuwapisha hao wamama wenye watoto
 
Tena jamuhuri ya watu wa gomz ni balaa wanapata magari yao kwa shida sanaa ...Apo kila m2 anajfkiria mwenyewe na shida zake na uchovu wake
 
Kauzu kweli kweli wanakeraa.....unataka kutumia uzee wako kuja kutunyanyasa.nakwambia daladala zima iligeuka kuniangalia mi kimya busy na simu,akaropoka abiria mmoja vijanaa wa siku hizi hadabu hakuna,nikamwambia Ni rahisi tu simamaa wewe akae....hakusimama
Kweli kila mtu apambane kivyake, tusilazimishane
 
Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la Gongo la Mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004

Iyo 2004 Ungeeka 2019 Ningesema Ni Yeye?
 
Unakuta mtu kageuza na gari tokea vingunguti hadi Gomzi unadhan huyo atakupisha vipi?
 
Hu
Unakuta mtu kageuza na gari tokea vingunguti hadi Gomzi unadhan huyo atakupisha vipi?
Huyo wa kugeuza na gara vingunguti adi gomz ni mjinga toka ijengwe flyover vingunguti na posta ni dk tu
 
Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la Gongo la Mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
😁😁😁😁kwahy kipnd iko waliktesa sana daa pole😃😃walipizie adi wakuomb msamaha
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwahy kipnd iko waliktesa sana daa pole[emoji2][emoji2]walipizie adi wakuomb msamaha
Nani ataniomba msamaha? [emoji2][emoji2] Dawa ni kulipiza tu.
 
Mtu anapanda huku kaona basi, limejaa, makusudi, hajui wenzake wamechoshwa vipi na haya maisha ya Uchumi wa Kati wa chini.

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Exactly, unakuta limtu linapandia makumbusho stendi kabisa na linataka watu walihurumie kuliachia siti wakati lingesubiri lingekaa...nashangaaga sana watu wanaofanyaga hivi afu wanaona watu wabaya
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom