Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Kat ya watu makauzu humu wew ni nambari wani.hahahahWewe ulivyompisha si ndiyo kapishwa hivyo au ulitaka daladala lote limpishe
Kat ya watu makauzu humu wew ni nambari wani.hahahahWewe ulivyompisha si ndiyo kapishwa hivyo au ulitaka daladala lote limpishe
Aisee nikikumbuka hii adhabu huwa nashukuru sana MUNGU hapa nilipo.....Asubuhi wengine tunalipa nauli ya kugeuza na gari ili tupate kukaa alafu nimpishe mtu aisee hapana
Ni akili ya kipumbavu sana yaani. Na nimegundua why wanawake huwa hawanaga time zaidi kuliko wanaume sababu wanajua kuwa hao wenzao wanaigiza kutaka waonewe huruma...Utakuta mpo mwisho wa gari/kituo, gari kibao zinapakia, kaacha zote kaifuata inayoondoka iliyojaa seat afu anataka apishwe.
Kwanza huruma anaonewa nan.mtoto au mama..tuanzie hapo....kama ni mtoto.mtoto akibebwa na mama anajihis kama yuko kwenye kochi..tabu anaipata mama.hahah.Mtoto apokelewe...apakatwe.
Sasa kama mwanao hataki au hapendi kubebwa na watu my friend utasimama nae mpaka mwisho wa safari.
Wanakuwa ni majike dume yale ww usije ukaenda kichwa kichwa utapokea vitasa ni wanawake wachache sn wanaweza himili zile hali na body language zao huwa ni tofaut kabisa na hawa kina doreen wa uku mtaanMbona wapo fundi garage wa kike na wabebaji zege mkuu? Ndio hio hio haki sawa wanayoililia hakuna nyengine. Hawaamini kama mwanaume anatakiwa awe msimamizi wao, wanataka wote waonekane ni sawa.
Msiwahukumu jaman kumbuken wale ni dhaifu achilia mbali udhaifu kaongezea na mtoto juu malaika wa watuNi akili ya kipumbavu sana yaani. Na nimegundua why wanawake huwa hawanaga time zaidi kuliko wanaume sababu wanajua kuwa hao wenzao wanaigiza kutaka waonewe huruma...
Long form yake ni nini?Siku hizi wanajiita LATRA
Hii ni fact bro .Watu mna roho ngumu na hz roho tunaanza kuambukizana mwisho wa cku kila mtu ataish maisha yke
Uko nchi gani? Unakurupuka tuu hao hawapo siku hizi.Surface and Marine Transport Regulatory Authority(Sumatra).
Hayaa
LAND TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY - LATRALong form yake ni nini ?
AsanteLAND TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY - LATRA
Walikufa kitamboooUko nchi gani? Unakurupuka tuu hao hawapo siku hizi.
Sawa Mkuu nimekumbushwa ni LATRA..Uko nchi gani? Unakurupuka tuu hao hawapo siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nimewahi kumpisha mzee flani kwenye bus alipokuja kukaa nikasikia ananuka pombe huku akiongea mwenyew nilijilaumu sana kumpisha siti
Mwanamke ni Mwanamke tu. Watambue kuwa Mwanaume ameumbiwa mateso wao wameumbiwa raha. Waache kujitia hamnazoWanakuwa ni majike dume yale ww usije ukaenda kichwa kichwa utapokea vitasa ni wanawake wachache sn wanaweza himili zile hali na body language zao huwa ni tofaut kabisa na hawa kina doreen wa uku mtaan