Watu wa Dar es Salaam noma. Mama ana mtoto hamtaki kumpisha kiti!

Nchi imeshakua ya kibepari hii, unapaswa kujiangalia mwenyewe Kama unamudu kusimama ndipo upande gari iliyojaa Kama huwezi kusimama Subiri ambayo haijajaa upande.
Hupaswi kulalamika kwa uamuzi wako wakupanda gari iliyojaa. Hao ambao umewakuta wamekaa pengine kuna gari iliondoka imejaa wakaicha ili wapate Siti wakae.
Tubadilike na kila mmoja awajibike na Maisha yake na maamuzi yake.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hivi sasa dar ukitaka ufike kwa kukaaa huko uendako geuka na gari lipia buku. Sasa ukiwa mbahili kwamba 600 ikutoe gongo la mboto Hadi kibukoni itakula kwako. Mfano Leo foleni ya mwenge Hadi kufika ubungo mi 2hrs hatujaoboa hata Riverside...
 
Miaka ya nyuma niliwah gombania gar ya kkoo pale t/nyuki yan ilikuwa scramble ya kutosha niliingia dirishan basi tumekaa ndan gar akaingia bibi mmoja wakat huo gar hata haija ondoka akawa anaomba watu wampishe akae ile siku ndo nilijua nn maana ya kauz watu walimwanbia ashuke angoje gar itakayo fuata

Mm kama mama anamtto bora nimsaidie kubeba huyo mtto kuliko kumpisha
 
Nidhamu ya woga, hii hali inafanya tunaanda kizazi kisichojiamini.
Watoto/vijana wadogo ni binadamu kamili, wana haki ya kukaa kama wengine
 
Ukiendekeza tabia ya kupisha watu siti kwenye vyombo vya usafiri wa umma, utajikuta unasimama kuanzia January mpaka December.
Mtu kama ni mgonjwa au ana mtoto asafiri nyakati za mchana ambazo hazina abiria wengi, au azunguke na gari ili apate siti. Kila mtu apambane na hali yake!
 
Hii ni kwel sababu yule mmama niliempisha akunipa asante lkn sometime kuna vitu havina ulazima sn wa kumshukuru mtu ivo ckujali
 
Wewe ulivyompisha si ndiyo kapishwa hivyo au ulitaka daladala lote limpishe
Ilichukua km dk 15 hv watu wanamchek tu ivo ni dhahir nisingempisha watu wangekausha mbona yule wa pili hawakumpisha kaenda kasimama adi mnaz mmoja
 
Hatutofautiani aisee
 
Wewe mwenyewe imekuchukua muda kufanya hivyo, je, ni kwa nini?
renamaizo
Nilikuwa nipo mbal nae yaan aliposimama yy na mm kuna umbali na apo karibu kulikuwa kuna vijana na mabint akimama wengine ambao hawana watoto wamekaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…