Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,497
Reaction score
9,728
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii


IMG_20230904_155213.jpg
 
Kama inavyo someka ni habari au onyo kutoka kwa Mungu kupitia kwa nabii wake.
Screenshot_20230904-170329_Instagram.jpg
Iwafikie wakazi wote wa jiji hilo na miji yote ya jirani..
😤😂😂😂😂😂
 
Alisema hatoangamiza Kwa gharika Wala moto, kauli yake ni agano,
Ndio maana Kuna upinde wa mvua kama agano.

Nabii wa mchongo atupumzishe.
Huo upinde wa mvua kama mmeshaubadilishia kazi mnategemea nin[emoji2],kwa maelezo ya nabii sababu za kuangamizwa maupinde wamezidi jiji joto halipungui[emoji2]
View attachment 2738919
 
Back
Top Bottom