Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii

wanaume wa Dar ifikapo tarehe hiyo watakuwa wamekimbia wote, kukimbilia mikoani wanawaacha wake zao
 
Kwahio Dar es salaam inazidi dhambi Paris, New York, London!? Huyu nae anatafuta kiki, hio siku itanikuta kitambaa cheupe.
Nyikani ndilo Taifa linalobeba Dunia katika Ulimwengu wa Roho,

Ukiona machukizo yaliyozorleka Nchi zingine yanashamiri huku,

Jua kipigo Kutoka JUU ki karibu.
 
NINACHOMPENDA ZAIDI YESU NA BIBLIA ALIISHA SEMA YOTE HAY0 MIAKA 2023 ILIYOPITA.

MATHAYO 7:15.

15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao.
 
YESU HAKUISHIA HAPO AKAENDELEA KUTUONYA.

watatokea Makristo na MANABII Wengi wa Uongo NAO watafanya Ishara kubwa na Maajabu yamkini wapate kuwapoteza walio wateule wake.

Mathayo 24:24.
 
YESU HAKUISHIA HAPO AKAENDELEA KUTUONYA.

watatokea Makristo na MANABII Wengi wa Uongo NAO watafanya Ishara kubwa na Maajabu yamkini wapate kuwapoteza walio wateule wake.

Mathayo 24:24.
Soma vizuri Mathayo 24 yote sura nzima, inaongelea pia Ishara za kurudi Kwa Yesu, imeandikwa pia itatokea DHIKI ULIMWENGUNI ambayo haijawahi tokea.

Njaa, matetemeko, DHIKI ambayo haijawahi tokea.

Usiwe mwepesi wa kufanya judgement, ingia kwenye maombi utajulishwa Kweli,

Mimi nilionyeshwa pia.
 
Huyo ni nabii au tapeli kama yule McKenzie wa nchi jirani!?
Kweli wapo manabii wa UONGO, bt pia kama wapo waongo jua Manabii wa Kweli pia wapo.

Uweze kutofautisha. Uzuri hujalaximishwa kufuata, endelea kusubiri Ili uone Kwa macho!!
 
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii

Amempata mwarabu wa kimuuzia jiji, kisha atasema tuliondoka kwa hiari yetu bila kulazimishwa.
 
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii

Huyo Mungu wake ni kichaa tu.

Na nabii huyo anatakiwa kufunguliwa kesi ya uchochezi.

Ukisikia neno nabii au mtume wa Mungu kwa definition ya maisha halisia, maana yake ni muongo.
 
Imeandikwa, Dunia haitaangamizwa tena Kwa maji,

Dar sio Dunia!!

Kuna visiwa vimewahi kufunikwa na bahari baada ya gharika

Soma Kwa kuelewa BIBLIA.
Kwani hili neno huwezi litumia kama ombi mbele zake na akasamehe.? Ni kweli ni agano la ulimwengu wote ila issue ni nani atakae kumbuka kukumbusha juu ya agano lake(na sio mafuriko yote yaliyofunika visiwa na miji mingi yalikuwa ni ya adhabu mengine ni man made na mengine hawakupatika watu wakumkumbusha Mungu juu ya ahadi yake(wakikosekana wa kumkumbusha agano lawezekana kuonekana batili refer kukaa kwa wana wa Israel zaidi ya miaka 77 wakati wa Daniel utumwani na mifano kibao) ukiwa unaelewa issue za mahakama za mbinguni utakuwa umenielewa )

Huyo jamaa wa juu anaelewa nini maana ya kusimama mahala palipo bomoka kwa kutumia agano.
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Back
Top Bottom