Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Kama ni unabii wa Mungu kweli angeanzia Unga limited arusha na si dar
Angewakomboa wala unga,jani, shisha na wapanda juu ya meza kwa kichwa,halafu angesogeaga na huku kwa tu mtu twa Dar🤸🤸🤸🏃🏃😂😂
 
Kama ni unabii wa Mungu kweli angeanzia Unga limited arusha na si dar
Ungalimited Arusha kuna tatizo gan,huyo nabii ametumwa kuwafunulia huo utabiri watu wa dar,kwa maelezo ya Nabii huo utabiri hautuhusu watu wa mikoani[emoji2]
 
Angewakomboa wala unga,jani, shisha na wapanda juu ya meza kwa kichwa,halafu angesogeaga na huku kwa tu mtu twa Dar[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
Hivi Jani ni dhambi?,
 
Kwamba Mungu amedhmiria kuuangamiza mji kisha anampa "nabii" huo mchongo ili awasanue waangamizwaji wahame?
Kwani kwa maelezo ya vitabu vya dini kabla Mungu hajaiangamiza sodoma/gomora si alituma malaika wake wakawasanue wale waliokua hawana dhambi waondoke?,nabii amefikisha ujumbe ili wale wema wasepe
 
MAONO:

Nilipopata ujumbe huo, niingia u tube kutaka kujua undani wa ujumbe huo,

Nilifungua video ya you tube UNYAKUO TV iliyokuwa ikieleza juu ya Mafuriko.

Wakati naendelea kusikiza video, uliopita USINGIZI wa ghafula, nikajikuta naona yafuatayo,

Nilijikuta nipo kwetu nilikozaliwa, nimo ndani ya nyumba nikiwa na watu kadhaa,

Cha kushangaza ni kuwa, nilikuwa ndani lakini niliweza kuona Kila kitu vizuri kilichoendelea nje na angani.

Niliona Mbinguni juu mawingu yakizunguka juu na yalitengeneza kitu kama duara mithili ya sahani flat, na sahani hiyo ilikuwa RANGI ya birauli izungukayo Kwa Kasi,

Wakati nikiona hayo juu, niliweza kuona nje upepo na wingu juu Kwa mbali,

Kasi ya sahani Ile ilizidi kuzunguka Kwa Kasi, na ghafula ukatokea mfuniko Kutoka sahani Ile uliomimina maji kiasi huku duniani na kujifunga tena.

Baada ya kuona tukio lile, nilihusi hatari inaenda tokea,

Sasa kitendo Cha kugeuka niwambie watu niliokuwa nao ndani ya nyumba tujiokoe,

Ghafula nilijikuta nikielea ndani ya maji mengi na vitu vyote vilifunikwa ikiwemo milima.

Nikastuka Kutoka maono Yale huku mapigo yakienda Kasi.

Nakushauri upatapo kumbe za kutatanisha, ingia katika maombi Mungu atasema nawe!!

Aamen
 
Back
Top Bottom