Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

Huo upinde wa mvua kama mmeshaubadilishia kazi mnategemea nin[emoji2],kwa maelezo ya nabii sababu za kuangamizwa maupinde wamezidi jiji joto halipungui[emoji2]
View attachment 2738919
Sodoma na Gomorah ilikuwa funga kazi hata Mungu akaona aichome hiyo miji,
Naamini Biblia inachosema maana neno la Mungu ni moto ulao,
Yesu mwenyewe alishasema tukisikia kule Kuna Nini tusikimbilie

Kikubwa kukaa tayari Kwa wakati unaifaa na usiofaa.

Wamngojeao Bwana hawachoki huyo na nabii asituwaishe.
 
Back
Top Bottom