atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kigamboni vipi tunahusika napo?Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
View attachment 2738772
HawaaminikiNachokiamini Mimi ni kwamba hakuna nabii yeyote wa Mungu hapa duniani tangu enzi za biblia , Hawa waliopo ni watafuta kiki tu na njaa
Kama inavyo someka ni habari au onyo kutoka kwa Mungu kupitia kwa nabii wake. View attachment 2738828Iwafikie wakazi wote wa jiji hilo na miji yote ya jirani..
😤😂😂😂😂😂
Wewe endelea kusema watafuta kiki hameni huo mji,huo mji hauna tofauti na sodoma na gomoraNachokiamini Mimi ni kwamba hakuna nabii yeyote wa Mungu hapa duniani tangu enzi za biblia , Hawa waliopo ni watafuta kiki tu na njaa
Hameni huo mji,watu wana*****a kama hawana akili timamuSiamini mi ninachojua kuna sunami so sehemu za bahari zitaadhirika
Kabla Mungu hajawaza kuiangamiza Dar, kuna miji kama Paris huko ndio dhambi za kila aina sasa iweje atuonee sisi wabongo na tudhambi hutu tudogo tu.Wewe endelea kusema watafuta kiki hameni huo mji,huo mji hauna tofauti na sodoma na gomora
Huo upinde wa mvua kama mmeshaubadilishia kazi mnategemea nin[emoji2],kwa maelezo ya nabii sababu za kuangamizwa maupinde wamezidi jiji joto halipungui[emoji2]Alisema hatoangamiza Kwa gharika Wala moto, kauli yake ni agano,
Ndio maana Kuna upinde wa mvua kama agano.
Nabii wa mchongo atupumzishe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Kabla Mungu hajawaza kuiangamiza Dar, kuna miji kama Paris huko ndio dhambi za kila aina sasa iweje atuonee sisi wabongo na tudhambi hutu tudogo tu.