Watu wa Dar ni wagumuNi heri nikaishi serengeti na fisi kuliko kuishi DAR.
DAR ni kama kuzimu...... au TANURU LA MOTO WA GESI.
Yaani kweli niache kuenjoy life mikoa maridhawa kama Arusha na Mwanza eti niende DAR na bichwa langu hili.....
Mnaoishi dar mna moyo.... Jiji lenyewe linanuka MAVI kila pande.
Na hizo dhambi ulizonazo bora usije tulizonazo huku zinatutoshaNi heri nikaishi serengeti na fisi kuliko kuishi DAR.
DAR ni kama kuzimu...... au TANURU LA MOTO WA GESI.
Yaani kweli niache kuenjoy life mikoa maridhawa kama Arusha na Mwanza eti niende DAR na bichwa langu hili.....
Mnaoishi dar mna moyo.... Jiji lenyewe linanuka MAVI kila pande.
Kuna kifaa huwa kinawekwa kwa wakazii wote wa Dsm wenye kipato na makazi maalumu ya kueleweka(permanent address) Hicho kifaa kinazuia jasho kutoka hovyo. Sasa wewe umetoka Mkoani unakuta hata sehemu ya kuoga inakuwa kipengele ndio maana hawawezi kukufunga hicho kifaa.Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa?
Nasema hapana
Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali.
Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa watu washakuwa Sugu na joto.
Wacha jumamoto pakuche nirudi zangu nyumbani Ngara niwahi mvua nipande mahindi na maharage,
Tukutane tena baada ya mavuno mwezi January
Waacha niawaachie joto na shida zenu watu wa Dar
Hii ni ngumu sana 😆🙌Wenzio huoga asubuhi,, mchana,jioni na kila baada ya mlo..wewe na mimi wa kuoga wakati wa kwenda kulala tu.. utaisoma namba