Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wewe hujakutana na joto mujarabu😆😆Kwamba hali ilivo hivi
Nyie watu wa Dar mnasema joto imepungua
Kwa sasa nyuzi joto zinacheza 24
Linganisha na hii taarifa ya hali ilivyokuwa kwa muda huo alafu utapata jibu kuwa kwa sasa joto sio kali sana. Ungeingia kipindi nyuzi joto ni 28+ ndio ungelowana mpaka mate kwa jasho.