Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 bila D mbili huwezi elewa hiiwatu wa Ngara huko na sehemu za jirani, si mna vibomba vya kurusha maji. watu wa dar ni mti mkavu
Aaah nyie nanyi mjiandae. Na lile baridi, moto utawanyoosha🤣🤣Sasa kwa nini unitag lakini.😅😅😅😅
Mimi wa Kaskazini bhana
Akavubhu mugabho. Ulakomeye?Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa?
Nasema hapana
Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali.
Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa watu washakuwa Sugu na joto.
Wacha jumamoto pakuche nirudi zangu nyumbani Ngara niwahi mvua nipande mahindi na maharage,
Tukutane tena baada ya mavuno mwezi January
Waacha niawaachie joto na shida zenu watu wa Dar