Watu wa Dar mbona miili yenu haitoi jasho, mna AC mapafuni

😆😆Kwamba hali ilivo hivi
Nyie watu wa Dar mnasema joto imepungua
Wewe hujakutana na joto mujarabu
Kwa sasa nyuzi joto zinacheza 24

Linganisha na hii taarifa ya hali ilivyokuwa kwa muda huo alafu utapata jibu kuwa kwa sasa joto sio kali sana. Ungeingia kipindi nyuzi joto ni 28+ ndio ungelowana mpaka mate kwa jasho.
 
Watu wa Dar wana roho ngumu sana, unakuta mwamba kavaa tshirt na vest ndani na koti juu hatoki jasho, wewe hapo unatamani uzibwage zote
 
Watu wa Dar wana roho ngumu sana, unakuta mwamba kavaa tshirt na vest ndani na koti juu hatoki jasho, wewe hapo unatamani uzibwage zote
😆😆
Miili Yao sijui ina Nini
Yaani jua la saa 7 unakuta mtu kavaa koti kabisa anadunda
 
Ni swala la kisayansi(bilojia) kwenye mwili

Na ,ulivyo kituko utakuwa unabugia maji ya baridisana na hatari pia

Wakati unakunywa vitu baridi unafanya mwili kujifunga ku-rejuleti joto ya mwili hivyo unaendeleza pambano la kusweti
 
Hayo maswala yenu ya Upinde baki nayo hukohuko!! Kaoge tulimwombea dua akafa, kama nawewe kifo kinakuita njoo Serengeti uone kudadadeque zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…