Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,954
Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo..

hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo..

Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili..

Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela..

Badilikeni..
 
🤣🤣🤣Tunaijua mkuu,huu wa vidonda vya tumbo...huu typhoid...huu malaria....huu kupata mtoto,huu mbadala wa P2 nk...
Ni kweli zinatibu ila kiwango chake kipoje ? Unajua Madawa ya kienyeji pasipo kiwango huua Figo haraka sana?
 
unataka kuniambia pale muhimbili kuna directorate ya bamia na ubuyu lakini haifanyi kazi yake vizuri?
 
Kwa sababu ni tiba za uongo! Unapendwa kudanganywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…