Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!

Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha halileti muonekano mzuri, begi kubwa kama hilo wabebe wasaidizi wengine wa idara.

Naamini mtalifanyia kazi jambo hili nyeti, ahsanteni!

 
Kwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
 
Hiyo ndiyo kazi yake haswaa na wala hawajakosea. Huyu siyo mlinzi bali ni msaidizi wa karibu, na kubeba mikoba ya rais ndiyo kazi yake.
 
Daaah, top Secret valuable Docs
 
Kwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
Tanzania tumemkosea nini Allah.!?!
Mrundi aliejificha kwenye Usukuma kaenenda nchi ipo kwa mama wa kiarabu toka Omani anaejificha kwenye Umakunduchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…