Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

"Tuko salama"
Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Rais alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!

Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha halileti muonekano mzuri, begi kubwa kama hilo wabebe wasaidizi wengine wa idara.

Naamini mtalifanyia kazi jambo hili nyeti, ahsanteni!

 
Humo kuna mikataba ya ulagai kutoka uskochi, hapaswi kuku yoyote kuijua ndiomana tumembebesha mpambe
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] eti kuku[emoji23][emoji1787]
 
Aah mtaalamu ila kwa upepo unavyokwenda mama tupo nae hadi 2030, ANNEX kutamu mkuu 😜😜😜
😅😅mi na uchungu sana kusikia hii habari(angetufikisha 2025 afu akapumzika ila lolote sawa tu) ....Afu ukiona kingozi hatoki ikulu kisa Hilo jengo liliongezwa sababu ya starehe BM....ujue huyo kiongozi ni mpenda anasa
 
Hahaha wewe una vituko Aisee. Kwa iyo uendagi tena kwenye ofisi ya shemeji yako mbele kuna picha ya mama?!
Siku hizi siendi kwenye ofisi na lapel pin ya dove 😅😅😅😅😅😅😅😅
 
😅😅mi na uchungu sana kusikia hii habari(angetufikisha 2025 afu akapumzika ila lolote sawa tu) ....Afu ukiona kingozi hatoki ikulu kisa Hilo jengo liliongezwa sababu ya starehe BM....ujue huyo kiongozi ni mpenda anasa
Sasa ankali nyboma Ndo reaction gani hizo umenipa😅😅😅😅😅😅
 
Kwani COVID 19 ilianzia Tanzania na kutangazwa na akina Dr.Gwajima?!!!

Komredi kwani njia za kujikinga zinatofautiana nchi na nchi ?!!!🤣
Kweli hazitofautiani ndo maana mama kajipigilia libarakoa wazungu wanamcheki tu.😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom