Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Anastahili kubeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo yupo hapo kama ishara tu kwamba Majeshi yapo chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni rais. Hana kazi ya maana zaidi ya kuwa alama tu.Yule hata Raisi akiwa na gunia la mchele anambebesha mleta mada haelewi kazi ya huyo ADC ila kaleta ujuaji wa Kibwege
Huyo aweza tumwa hata kwenda kumnunulia Raisi karanga nje wakati Raisi akiwa anahutubia ndani
Hasta la Victoria El Comandante JPM🙏Unanikumbusha mbali mno, yaani Hayati Magufuli alipokuwa akifanya ziara ama akiwa akitoa hotuba unakuta watu barabarani wamejaa wanasikiliza madini kutoka kwa jemedari wetu, ila hii awamu ya sita watu ndio hawana habari kabisa na Mama, kwa ufupi mama ana nyota ya upendo kwa watanzania.
Na akitaka asitaafu kwa heshima ni vyema aachia hicho kijiti 2025.
we ishia hapo hapo. kama hujui ni vyema ukanyamaza. Tangu enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, jk na hata magu uliwahi kuona amebebeshwa mabegi?Hiyo ndiyo kazi yake haswaa na wala hawajakosea. Huyu siyo mlinzi bali ni msaidizi wa karibu, na kubeba mikoba ya rais ndiyo kazi yake.
Toa ujinga wako hapa, sasa tuambie wewe unayejua kazi yake ni ipi kama sio kubeba lesso ya mama na mabegi ya documents mbalimbali..we ishia hapo hapo. kama hujui ni vyema ukanyamaza. Tangu enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, jk na hata magu uliwahi kuona amebebeshwa mabegi?
Aah mtaalamu ila kwa upepo unavyokwenda mama tupo nae hadi 2030, ANNEX kutamu mkuu 😜😜😜Hasta la Victoria El Comandante JPM🙏
Ila Nyboma bnaaa ha ha ha 🤣🤣🤣 kwa hiyo mh.SSH asipostaafu 2025 ataikosa heshima Kivipi?!!!
Kuwa na nidhamu, ni wapi na lini uliona JPM akihimiza ukabila?
Wataalamu wenyewe akina Molleli na Dorothy 🤣🤣🤣🤣Sawa....
Pamoja na kuchomwa CHANJO dhidi ya UVIKO bado Wataalamu wa afya hawajatushauri tuache kabisa kuvaa BARAKOA.....
Siempre JMT
Ndiyo. Siyo mara moja.we ishia hapo hapo. kama hujui ni vyema ukanyamaza. Tangu enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, jk na hata magu uliwahi kuona amebebeshwa mabegi?
Kwani COVID 19 ilianzia Tanzania na kutangazwa na akina Dr.Gwajima?!!!Wataalamu wenyewe akina Molleli na Dorothy 🤣🤣🤣🤣
Nyie ndo huharibu Mambo badala ya kumushauri mnasifia hata vitu vya hovyo.
Au aliambiwa kwa vile amepokea 1.3m ya Corona avae barakoa maisha yake?
Alisema eti " nani kawaambia sigombei tena"? Alishalewa madarakaUnanikumbusha mbali mno, yaani Hayati Magufuli alipokuwa akifanya ziara ama akiwa akitoa hotuba unakuta watu barabarani wamejaa wanasikiliza madini kutoka kwa jemedari wetu, ila hii awamu ya sita watu ndio hawana habari kabisa na Mama, kwa ufupi mama ana nyota ya upendo kwa watanzania.
Na akitaka asitaafu kwa heshima ni vyema aachia hicho kijiti 2025.
Sio barabarani tu,watu walikuwa wanafuatilia hotuba zake kwenye TV,vijijini huko unakuta watu wamekaa kwenye ki redio wanasikiliza!!!Unanikumbusha mbali mno, yaani Hayati Magufuli alipokuwa akifanya ziara ama akiwa akitoa hotuba unakuta watu barabarani wamejaa wanasikiliza madini kutoka kwa jemedari wetu, ila hii awamu ya sita watu ndio hawana habari kabisa na Mama, kwa ufupi mama ana nyota ya upendo kwa watanzania.
Na akitaka asitaafu kwa heshima ni vyema aachia hicho kijiti 2025.
Dogo kumbe huko vema unatema madini yaliyojitosheleza na kushusha nondo za hatarii ukiwa umening'iniza poumbou sofani sebuleni kwa shemeji yako.ADC maana yake msaidizi, mpambe, rafiki wa karibu mshikaji anayempa nafasi Rais ya kujihisi binadamu wa kawaidia huyo hata stori za "shosti fulani kantaka" wanapiga ila hayo ya kubeba mikoba na nyaraka yanaongezeka ili kumfanya asijasahau kuwa yeye ni kijakazi tu, kupiga stori na kuwa karibu na moja kusije kukamkengeusha.Sema hapo kwenye kubeba limzigo lizito na likubwa (haileti public image nzuri) una kahoja kamsingi katafanyiwa kazi.
Afu Leo shemeji kaachia kitu cha Chicken Korma nimejilamba kama bolizozo....kuhama msahau😁😁😁Dogo kumbe huko vema unatema madini yaliyojitosheleza na kushusha nondo za hatarii ukiwa umening'iniza poumbou sofani sebuleni kwa shemeji yako.
Hahaha wewe una vituko Aisee. Kwa iyo uendagi tena kwenye ofisi ya shemeji yako mbele kuna picha ya mama?!Afu Leo shemeji kaachia kitu cha Chicken Korma nimejilamba kama bolizozo....kuhama msahau😁😁😁