Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotamani kazi za watu hao, Mpambe mwenyewe analindwaUko sahihi mleta mada huyo sio body guard mambo Kama huyajui uliza
😅😅😅😅 Nilichogundua watu wengi nchini wana msongo wa mawazo..namna yao bora ya kutoa nyongo ndio humu mitandaoni!Tanzania tumemkosea nini Allah.!?!
Mrundi aliejificha kwenye Usukuma kaenenda nchi ipo kwa mama wa kiarabu toka Omani anaejificha kwenye Umakunduchi.
😁😁😁 Yaani siku Jamii Forums ikifungwa na hawa wakoloni wetu weusi, haki ya nani wengi tutakufa kwa msongo wa mawazo!😅😅😅😅 Nilichogundua watu wengi nchini wana msongo wa mawazo..namna yao bora ya kutoa nyongo ndio humu mitandaoni!
Kwa hasira hizi lazima utakuwa unajifungua kwa operation ndogo wewe. Pia nimeamini sasa kuwa mama anaupiga mwingi na haters kama mnaelekea kuwehuka hiviiii maana sioni ya maana mnayoongea zaidi ya ujinga ujinga......go nama samia go!Kwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
😀😀😀. Vibaya sana mkuu..baadhi yetu imekua sehemu ya maisha ya kawaida kabisaa!😁😁😁 Yaani siku Jamii Forums ikifungwa na hawa wakoloni wetu weusi, haki ya nani wengi tutakufa kwa msongo wa mawazo!
Mbona hata yeye alikuwa anabeba mabegi ya pesa .Tumfufue Magufuli aje kuendelea na urais au unasemaje.
UPO SAHIHI KABISA KIONGOZI, hilo ndilo lililopo sasa. Na nikuongezee tu kuwa hao ni haters wanaoendelea kuchanganyikiwa vibaya......😅😅😅😅 Nilichogundua watu wengi nchini wana msongo wa mawazo..namna yao bora ya kutoa nyongo ndio humu mitandaoni!
ADC maana yake msaidizi, mpambe, rafiki wa karibu mshikaji anayempa nafasi Rais ya kujihisi binadamu wa kawaidia huyo hata stori za "shosti fulani kantaka" wanapiga ila hayo ya kubeba mikoba na nyaraka yanaongezeka ili kumfanya asijasahau kuwa yeye ni kijakazi tu, kupiga stori na kuwa karibu na moja kusije kukamkengeusha.Sema hapo kwenye kubeba limzigo lizito na likubwa (haileti public image nzuri) una kahoja kamsingi katafanyiwa kazi.Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Raid alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!
Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha halileti muonekano mzuri, begi kubwa kama hilo wabebe wasaidizi wengine wa idara.
Naamini mtalifanyia kazi jambo hili nyeti, ahsanteni!
View attachment 1998581
Ni qasheeewz tu hawaWa Tz ni wasomi kuliko elimu yenyewe !!! Kila jambo ni lazma walikosowe.
Mbona tupo wajuaji wengi ????
Team Dikteta kichaaKwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
Unataka kutuambia Kuwa chief hangàyà Ni kama chief mangungo?Humo kuna mikataba ya ulagai kutoka uskochi, hapaswi kuku yoyote kuijua ndiomana tumembebesha mpambe
Muulize mama yakoTumfufue Magufuli aje kuendelea na urais au unasemaje.
Kunywa maji utulize hasira na ujue kabisa lile bedui sasa halipo.Muulize mama yako
Mashabiki zake wanaona alikuwa malaika.Mbona hata yeye alikuwa anabeba mabegi ya pesa .