Msudu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2021
- 1,050
- 1,705
Nafikiri ni sehemu ya majukumu yake.Watu wa itifaki ikulu naomba muwe mnaondoa aibu ndogondogo kama hii, inakuaje mpambe wa Rais Samia abebeshwe mzigo huu wa begi kubwa wakati Raid alipowasili airport ya Dar akitokea Scotland!
Hapo inamuondolea uwezo wa yeye kufocus katika mausala ya msingi, lakini pia hata kwenye suala la picha halileti muonekano mzuri, begi kubwa kama hilo wabebe wasaidizi wengine wa idara.
Naamini mtalifanyia kazi jambo hili nyeti, ahsanteni!
View attachment 1998581