Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

"Tuko salama"
 
Humo kuna mikataba ya ulagai kutoka uskochi, hapaswi kuku yoyote kuijua ndiomana tumembebesha mpambe
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] eti kuku[emoji23][emoji1787]
 
Aah mtaalamu ila kwa upepo unavyokwenda mama tupo nae hadi 2030, ANNEX kutamu mkuu 😜😜😜
πŸ˜…πŸ˜…mi na uchungu sana kusikia hii habari(angetufikisha 2025 afu akapumzika ila lolote sawa tu) ....Afu ukiona kingozi hatoki ikulu kisa Hilo jengo liliongezwa sababu ya starehe BM....ujue huyo kiongozi ni mpenda anasa
 
Hahaha wewe una vituko Aisee. Kwa iyo uendagi tena kwenye ofisi ya shemeji yako mbele kuna picha ya mama?!
Siku hizi siendi kwenye ofisi na lapel pin ya dove πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa hiyo ilitakiwa abebe nani ki itifaki?
 
πŸ˜…πŸ˜…mi na uchungu sana kusikia hii habari(angetufikisha 2025 afu akapumzika ila lolote sawa tu) ....Afu ukiona kingozi hatoki ikulu kisa Hilo jengo liliongezwa sababu ya starehe BM....ujue huyo kiongozi ni mpenda anasa
Sasa ankali nyboma Ndo reaction gani hizo umenipaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sasa ankali nyboma Ndo reaction gani hizo umenipaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bibi si wakuachia mhuri hivihivi aise, tuwe wavumilivu aisee
 
Kwani COVID 19 ilianzia Tanzania na kutangazwa na akina Dr.Gwajima?!!!

Komredi kwani njia za kujikinga zinatofautiana nchi na nchi ?!!!🀣
Kweli hazitofautiani ndo maana mama kajipigilia libarakoa wazungu wanamcheki tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…