Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Vijana wanahangaika sana. Tutakuja kusikia milio mingi huko mbele.
Bora hii kuliko Erecto.
Na usiseme Vijana tu. Wazee kibao wanatumia Erecto . Ambayo ni mbaya zaid ya hizi busta za Kienyeji.
Vijana wanahangaika sana. Tutakuja kusikia milio mingi huko mbele.
Kahama, kitambo sana.Nipo kahama mwaka wa43 huu sijawahi Ona hata kopo lake tu likizagaa mtaani.
Au kahama zimekuwa mbili mkuu?
Heri wewe mlikuwa manenda kunujua sungua.Kahama, kitambo sana.
Enzi hizo tunaenda kununua sungura ilipo buzwagi leo.
Kumbe tulikua tunapita juu ya dhahabu kwenda kununua sungura
Uko wapi nikutumie mkuu?Mwenyewe sijawahi kuviona hivyo vidubwasha!
Nipo kahama ya mwz mkuuUko wapi nikutumie mkuu?
Nakutumia kwenye coaster ya Tunda inayokuja Mwanza, nipe namba yako.😁😁😁Nipo kahama ya mwz mkuu
Si upo kule Buswelu kwa mbele kunaitwa Nyamadoke, ndo kuna Kahama huko.Nipo kahama ya mwz mkuu
Huyu yuko Masemele hukoSi upo kule Buswelu kwa mbele kunaitwa Nyamadoke, ndo kuna Kahama huko.
Iko wapi hii Masemele??Huyu yuko Masemele huko
Tunda inatoka wapi😂 Namba hii 0677045072 tuma mapema🤡Nakutumia kwenye coaster ya Tunda inayokuja Mwanza, nipe namba yako.😁😁😁
Ndio hukohuko mkuuSi upo kule Buswelu kwa mbele kunaitwa Nyamadoke, ndo kuna Kahama huko.
Sawa, Geita.Tunda inatoka wapi😂 Namba hii 0677045072 tuma mapema🤡