Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kina siri gani sana, Kahama ukikutana na vijana wa kiume watano basi wanne wana hiki kinywaji
Nini siri yake?
Nini siri yake?
Ni nini hii sijawahi kuiona aisee
PoaNi nini hii sijawahi kuiona aisee🤔
Wanatumia kama "busta", iko sana huku kanda ya Ziwa, ni "viagra" ya kienyeji.Ni nini hii sijawahi kuiona aisee
Itakuwa huko kahama anaposema jamaa🤔
Kumbee! Basi haya mambo wengine hatujui kabisa! Aisee..Wanatumia kama "busta", iko sana huku kanda ya Ziwa, ni "viagra" ya kienyeji.
Vijana wanahangaika sana. Tutakuja kusikia milio mingi huko mbele.Ikichanganywa na baadh ya vitu inakupa energy na stamina kitandani.
Jaribuni kutumia hata mara moja mjionee.Kumbee! Basi haya mambo wengine hatujui kabisa! Aisee..
K vant situmii broGinger ina mambo yake.
Ikichanganywa na baadh ya vitu inakupa energy na stamina kitandani.
Ni kama ilivyo Kombucha.
Ila mkali wa zote hizi ni ile Power asili. Hasa ile yenye label ya njano.
(Na nadhan watengenezaj wa hizi energy zenye ginger wameiga formula kutoka kwa power asili).
min -me siku jaribu kumix Kvant na Kombucha alaf nenda kwenye shoo. Utanishukuru Baadae.
NB : kama una pressure usijaribu aina yoyote ya energy drink hasa hasa nilizotaja hapo juu.
Kesho nitaleta mrejesho aisee😀Jaribuni kutumia hata mara moja mjionee.
Labda kahama ya mwz😆 ata mwanza kuna kahama mkuu..Nipo kahama mwaka wa43 huu sijawahi Ona hata kopo lake tu likizagaa mtaani.
Au kahama zimekuwa mbili mkuu?
Huenda lkn kama hii ya shinyanga kasema uongoLabda kahama ya mwz😆 ata mwanza kuna kahama mkuu..
Mwenyewe sijawahi kuviona hivyo vidubwasha!Huenda lkn kama hii ya shinyanga kasema uongo