Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

Ulikuwa ukienda moshi/Arusha unasimamishwa mara 50 na trafic uchwara kumbe walikuwa tu na nia ovu .Mama mungu akupe maisha marefu saaaana
 
Amdika la kishenzi na andiko la kutuonesha nyinyi ni wabaguzi haijawahi kutokea baba wa Taifa alishatuonya kuhusu tabia zenu
Ni ukweli mtupu ,Mama kaondoa ule uzandiki uliokuwepo ,miaka mitano ya mateso ndani ya nchi yetu ,Mama Mungu akubariki saaaana
 
Kumbe hamuna habari na Mbowe mnafurahia siyo?
Kipi Cha maana alichofanya Hangaya huko?
Au ni chuki zako juu ya awamu ya tano?
Na wewe umeanza kumendea teuzi?
Mbowe ,ni msele aliorithi mama toka kwa watangulizi wake na kwa kuwa mama anataka haki itendeke hakuna namna ila ni afadhali hata Mbowe afungwe kuliko kuridi kwenye mateso ya miaka mitano ya iliyokuwa jasho na damu.Kunyanganya watu hela zao kwa kisingizia cha kodi ulikuwa ni unyama uliopotiliza.
 
Wakilimanjaro ulimbukeni hautawaisha, yaani kama ni utamaduni wenu iweje Leo iwe kitu kigeni? Kweli ushamba hauna bei
Miako mitano iliyopita mkuu ,ilikuwa ni mateso kwenda na gari kwenu ,ulikuwa unakamatwa na trafic police kama mwizi ,wengine tuliacha kabisa kuendesha ,ila juzi nimeondoka ,nimesimamishwa mara moja tu na trafic walikuwa very friendly
 
Mchagga mwenyewe inawezekana hata hajui kama kuna kiumbe kama wewe kina exist kwenye ulimwengu huu,mi niliwahi kuapa kutoshirikiana na mtu yeyote mwenye itikadi ya chama fulani cha siasa,ila siamini kuwa leo ndiyo marafiki zangu,japo tunapishana itikadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…