Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

Hivi unajua hata wewe kwa mtizamo wako una itikadi kali ?!!!; Yaani ushaona kwamba mtu akiwa wa ina fulani (race) au ametoka sehemu fulani (Taifa) basi una-generalize kwamba wote ni wa aina fulani..

Unasahau kwamba there are bad people on both sides..., na speaking from historical knowledge wakati wana-scramble na kuigawana Afrika kama vile ni Lidubwasha kulikuwa hakuna Taifa kati ya uliyoyataja ambalo halikuhusika kwenye Dhambi hizo na uonevu.....
 
Sijawahi ona popote wayahudi wakilazimisha watu au kutaka kupanga mavazi yao kilazima popote pale. Mkuu ukienda sehemu fanya kama wanavyotaka wao kwa utaratibu ulioukuta sio kuanza kuleta sheria zako au taratibu uzitakazo.

Arumeru hawajalazimisha kuvaa hijab mkuu
😅😅😅Kwa hiyo akivaa muislamu ndio haitakiwi mbona unajibu bila ya kukosa elimu!?
Unapajua Arumeru sheria walioweka juu ya mavazi!?
 
Sijawahi ona popote wayahudi wakilazimisha watu au kutaka kupanga mavazi yao kilazima popote pale. Mkuu ukienda sehemu fanya kama wanavyotaka wao kwa utaratibu ulioukuta sio kuanza kuleta sheria zako au taratibu uzitakazo.

Arumeru hawajalazimisha kuvaa hijab mkuu
Wapi nimekuambia Arumeru wamelazimisha watu kuvaa hijabu ?unaonekana uelewa ni mdogo , Arumeru iweka taratibu za mavazi na ni lazima!

Kama umeenda sehemu ukakuta sheria za watu kwa nn usifuate?
Zipo sheria hata za nyumba hta nchi ina sheria zake ndio maana hapa bongo mirungi haitakiwi ila kenya ni biashara kama kawaida...Sasa ukutwe na mirungi ndio utajua .

Mbona bangi USA ni ruksa hapa bongo mtu kafungwa miaka 10 ,kwa nn usifuate utaratibu na sheria ni lazima.

Wewe unaangalia mavazi huoni hapo FIFA mtu kamkiss mchezaji wa kike kapewa hukumu...Kwa nn hauna hoja za msingi!?😅😅
Screenshot_20231030-165117.png
 
Mkuu unachanganya madesa mpaka haueleweki unapinga kipi?

Huyo wa mpira hawakua wapenzi wala watu wa karibu iweje amkiss deep kivile wakati hakuna makubaliana hayo. Hakuna jamii inayokubali ushenzi huo wa kiss kisa tu una furaha.

Ya arumeru naona unatoa povu je hio sheria wameanza kuifata au ni mhemko tu ili mradi nawe uonekane mtandaoni unamwaga povu
Umetoka kwa Rita ukaja kiss Mara mirungi mara bangi iliradi umetype gazeti. Mkienda sehemu fateni sheria za eneo husika badala ya kulazimisha myatakayo nyie. Huwezi toka bongo ukaenda USA ukalazimisha bangi iwe marufuku ati kisa imani yako hairuhusu never
Wapi nimekuambia Arumeru wamelazimisha watu kuvaa hijabu ?unaonekana uelewa ni mdogo , Arumeru iweka taratibu za mavazi na ni lazima!

Kama umeenda sehemu ukakuta sheria za watu kwa nn usifuate?
Zipo sheria hata za nyumba hta nchi ina sheria zake ndio maana hapa bongo mirungi haitakiwi ila kenya ni biashara kama kawaida...Sasa ukutwe na mirungi ndio utajua .

Mbona bangi USA ni ruksa hapa bongo mtu kafungwa miaka 10 ,kwa nn usifuate utaratibu na sheria ni lazima.

Wewe unaangalia mavazi huoni hapo FIFA mtu kamkiss mchezaji wa kike kapewa hukumu...Kwa nn hauna hoja za msingi!?😅😅View attachment 2804573
 
Panic za nn dogo!? Chizi aliyekuzaa!!

😅😅Hiko kitabu hapo aliyevaa ni muislamu.
Mm sikuulizi wewe maana hata nikikuuliza hujawahi kuishi ulaya.Hili swali niliwauliza waarabu rafiki zangu ruliokya tunakaa apartment moja mjini Nice.
Nikawaambia huku tupo ugenini na sio saudia,,basi lazima tufuate sheria za huku na sio kuleta mambo yetu...na kama hatuwezi tuondoke maana hatukulazimishwa kuja ufaransa.
NB: HICHO KITABU NAONA PICHA YA KUFIKIRIKA YA MARIA MYAHUDI.
USITOKE NJE YA MADA MIMI NAZUNGUMZIA UFARANSA.
 
Sasa huoni kama hujielewi!?

Ukifika nchi zao fuata masharti yao sio itikasi kuvaa hijabu ni lazima katika nchi za kiislamu kama wanataka...😅😅

Kwa vile ni sheria zao sio itikadi kali
..Na huku kwingine hawatki hilo vazi ni wao mbona nchi za kiislamu zikifuata sheria zao ndio mnasema ni itikadi kali tu!?
 
Mkuu sasa hujanielewa nini.
Hili swali Nilikua namuambia mchumba wangu wa kiarabu aliyekua hajielewi anangangania kuvaa hijabu tukiwa tunaenda chuoni wakati wamekataza
NB: NANI KASEMA ITIKADI KALI?? USHAONA UFARANSA KUNA MTU ANAJIUMIZA KICHWA NA MAMBO YASIYOMUHUSU,,,,,KAMA NINGEMUOA YULE DADA INA NAANA TUNGEENDA SAUDIA NISINGESHANGAA AKIVAA HIJABU NA NIQAB,
ILA SIO UFARANSA
 
Soma mleta uzi kaandika nn kwanza!?

Kuwepo kwa binde lazimq kwa vile hata mvaa vipedo hawezi kuvaa nguo ndefu...Hi nina maana kuna sheria husika ambazo lazima zifuatwa halafu kuna watu ambao sio wote wanaweza kufuata.

Kupewa adhabu ni jambo la kawaida kwa vile wote hawawezi kufuata sheria.

Hapa kwetu kuna dada yetu alikuja ni upande wa bibi maana ni wakristo, basi alivaa nguo za kubana mno palikuwa na msiba ilikuwa 2002 kitu kama sijakose.....Hiyo nyumba wenyeji ni wakristo ila walikataa asiingie mpaka avae kanga au andokee.

Na wazee wengi walitaka tena aombe msamaha ila aligoma na kusema ananyanyaswa ,hapo ni wakristo kama ingelikuwa ni kwetu basi maneno yengesambaa kwamba tuna itikadi kali.
 
Mkuu mm nazungumzia ufaransa,,,na experience yangu huko wakati nipo chuo
 
wewe huoni kama hii ni propaganda? Please read between lines usifunikwe na chuki tu.
Sio proganganda mkuu ebu ona msingi huu mmoja wa dini ya kiislamu kuuhusu chuki dhidi ya imani nyingine.
Qur'an 2:191
Qur'an 3:85
Qur'an 8:65
Quran 9:30
Quran 9:123
Quran 22:19
Quran 47 :4
Qur'an 3:28
Qur'an 5:33
Qur'an 8:12
NB: HAPO NI KWA KIFUPI TU.
LAKINI WAISLAMU WANAWAKOSOA JEWS NA HINDUS NA CHIRSTIAN NA BUDHA NA WENGINEO ILA WAO WANASAHAU PIA IMANI YAO NI YA KIBAGUZI KAMA ZILIVYO IMANI NYINGINE.
 
Back
Top Bottom