Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kwani nguo ina maanisha dini fulano? Ndio maana nakuambia nchi za kiislamu pekee ndio utasikia wana misimamo mikali wakisimamia sheria zao ila kwingine ni free.😅Mkuu mm nazungumzia ufaransa,,,na experience yangu huko wakati nipo chuo