Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji lenu wewe na nani?😂😂Nina hasira sana.
Naanza na nyie watu wa mikoani ambao kila kukicha tunawapokea stand ya magu na mabegi yenu ya shangazi kaja, mkifika pale mnatapeliwa kwa kuuziwa sabuni eti mnadanganywa simu.
Nakukaribisha kwangu, kwenye chumba changu unapagawa na flat nchi 55 ukutani, sofa kali kitanda kikubwa unabaki unaduwaa maana hivi vitu vigeni kwenu ushamba huooo.
Nakupa pamba zangu huendane na watu wa Dar wasikushangae kwa manguo yako ya kishamba na maviatu yako meusi kama wanafunzi wa msingi, acheni ushamba.
Baada ya weeks kadhaa mnajiona tayari mshajua jiji na kuanza kubadilisha lafunzi eti niaje mwana kudadeki, nakulisha nakuvisha alafu unajiona mjanja wa Dar pumbavu zako.
Naomba serikali yangu iweke kuja Dar lazima uwe na Visa, maana mnajaza bure jiji letu pendwa kila mtu wa mikoani unawaza kuja tu Dar tushawachoka sasa.
Bakini huko Bush kwenu kwa hao mademu zenu wasiojua kukata mauno, hii ndo Dar.
Huyu pimbi mtoa post kanifany ni PROVeKuna thread ililetwa hapa kuhusu vijana wa Dar inasema vijana wa Dar kwao kuwa na geto na kumiliki flatsreen kwao ndio mafanikio.
Msamehe bure mama, anajiita mjanja anajiona amemaliza maskiniAf ukute ni Hisense ndo unatunanga hivi
Bed lenyewe sofa la kichina
Nyie nyie watu wa Dar mna hilaa
Kwa uandishi huu wewe upo lindiUgonjwa wa akili ni harisi
Sijawahi hata kufika mkoa huoKwa uandishi huu wewe upo lindi
Nimekutania tuSijawahi hata kufika mkoa huo
Usikute unakaa ulongoni A alafu unajinadi upo darNina hasira sana.
Naanza na nyie watu wa mikoani ambao kila kukicha tunawapokea stand ya magu na mabegi yenu ya shangazi kaja, mkifika pale mnatapeliwa kwa kuuziwa sabuni eti mnadanganywa simu.
Nakukaribisha kwangu, kwenye chumba changu unapagawa na flat nchi 55 ukutani, sofa kali kitanda kikubwa unabaki unaduwaa maana hivi vitu vigeni kwenu ushamba huooo.
Nakupa pamba zangu huendane na watu wa Dar wasikushangae kwa manguo yako ya kishamba na maviatu yako meusi kama wanafunzi wa msingi, acheni ushamba.
Baada ya weeks kadhaa mnajiona tayari mshajua jiji na kuanza kubadilisha lafunzi eti niaje mwana kudadeki, nakulisha nakuvisha alafu unajiona mjanja wa Dar pumbavu zako.
Naomba serikali yangu iweke kuja Dar lazima uwe na Visa, maana mnajaza bure jiji letu pendwa kila mtu wa mikoani unawaza kuja tu Dar tushawachoka sasa.
Bakini huko Bush kwenu kwa hao mademu zenu wasiojua kukata mauno, hii ndo Dar.
Bado hujasemaKweli Dar ni washamba , wachawi, mbeya kila kitu ni wadar hadi ushoga mnajiona kama mpo Usa kumbe ushago , washamba tu, sijawahi heshimu viparata vinavyojiona eti mji ni wao
Unaongea kama MpwayunguNina hasira sana.
Naanza na nyie watu wa mikoani ambao kila kukicha tunawapokea stand ya magu na mabegi yenu ya shangazi kaja, mkifika pale mnatapeliwa kwa kuuziwa sabuni eti mnadanganywa simu.
Nakukaribisha kwangu, kwenye chumba changu unapagawa na flat nchi 55 ukutani, sofa kali kitanda kikubwa unabaki unaduwaa maana hivi vitu vigeni kwenu ushamba huooo.
Nakupa pamba zangu huendane na watu wa Dar wasikushangae kwa manguo yako ya kishamba na maviatu yako meusi kama wanafunzi wa msingi, acheni ushamba.
Baada ya weeks kadhaa mnajiona tayari mshajua jiji na kuanza kubadilisha lafunzi eti niaje mwana kudadeki, nakulisha nakuvisha alafu unajiona mjanja wa Dar pumbavu zako.
Naomba serikali yangu iweke kuja Dar lazima uwe na Visa, maana mnajaza bure jiji letu pendwa kila mtu wa mikoani unawaza kuja tu Dar tushawachoka sasa.
Bakini huko Bush kwenu kwa hao mademu zenu wasiojua kukata mauno, hii ndo Dar.
WashambaKuna kitu nataka kuandika nahofia watu wa mikoani wasije kunishambulia maana naona jinsi wanavyotupa makombora humu..
Bado hujasemaUnazani flat nchi 55 ndio yakumshangaza mtu na chumba cha kupanga joto kali kama jehanam uchunguzwe akili watu tunashangaa uwekezani ambapo bila ya akili yako ya uwekezaji watu Karibia 100 wangekosa ajira Chezea kuwa boss ww na demu wako nampa ajira katika uwekezaji wangu namla na mozigo
Sent using Jamii Forums mobile app