Watu wa mikoani mnatujazia jiji letu

Jiji lenu wewe na nani?😂😂
 
Usikute unakaa ulongoni A alafu unajinadi upo dar

Umerogwa na nan?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kama Mpwayungu
 
Ni dar tu ambako wanaume wanatoga masikio na kuvaa hereni na kupaka wanja na na vitu vinavyofanana na hivyo mje mkoani mmevaa hivyo mtaolewa mmoja baada ya mwingine
 
Watu wa dar wakija mikoani zawadi mkate, wakati siku hizi mikate kila Kona.
 
Jinsi ulivyoandika inaonyesha kabisa we mwenyewe hii ndio masika Yako ya kwanza ukiwa Dar
 
Kuna kitu nataka kuandika nahofia watu wa mikoani wasije kunishambulia maana naona jinsi wanavyotupa makombora humu..
 
Unazani flat nchi 55 ndio yakumshangaza mtu na chumba cha kupanga joto kali kama jehanam uchunguzwe akili watu tunashangaa uwekezani ambapo bila ya akili yako ya uwekezaji watu Karibia 100 wangekosa ajira Chezea kuwa boss ww na demu wako nampa ajira katika uwekezaji wangu namla na mozigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…