Watu wa mikoani mnatujazia jiji letu

Yaani kuishi dar ndio umeona kwamba dunia yote yako? Huu ni ushamba wa kijinga sana na isitoshe watu wa mikoani pamoja na ushamba wao wanakuzidi parefu mno kimaendeleo wewe endeleo kujivunia hilo geto lako.
Mpaka useme
 
Siyo kwamba mtoa thread hii ana IQ ndogo,huyu anateswa na mibangi anayoivuta akiwa amejificha chooni.
 
Anakuja Mtu kama Mohamed Said mmanyema ambaye kizazi cha pili tu nyuma yaani Babu yake ndiye aliyetoka Manyema huko Kigoma leo anajiita Mtoto wa Kariakoo na kuwaita wengine Wakuja

Ama anakuja Mwanamke FaizaFoxy ambaye Baba yake Mnyamwezi wa Mkuranga huko Pwani lakini kwakuwa alisogea kidogo na kuzaliwa Dsm anasema Dsm ni ya kwao

Ally na Abdul Sykes walitokea Afrika ya Kusini

Dar es Salaam ni ya Wazaramo hasaa, hao wazee koo za kina Tambaza, Shomvi na Pazi

Hawa wengine wote ni Wahamiaji wa siku nyingi Dsm waliokuwepo kabla ya Uhuru lakini na wao ni Wakuja tu akina Sykes, John Rupia, Tambwe, Dosa Azizi, Tewa Saidi Tewa, Kasela Bantu, Nyerere na wengine
 
Hilo Jiji ulijenga wewe na nani mpaka liwe lenu?

Si bure hata Flat moja huna wala barabara lenye jina lako
 
Uyu dogo ni mshamba na sio yeye tu wapo wengi mtaani wa aina yake,
Hawanaga maendeleo hawa madogo kazi kuwasimanga watu wanaotoka mikoani kiuhalisia maisha yao ni mabovu mnoo washazoea njaa yani wanashindia mihogo na mishe wanazofanya hazieleweki wanaishia kujipodoa kupita kiasi ili waendelee kuonekana watoto wa mjini at the end wanaanza kuliwa jicho

Me nawaheshim sana watu wanatoka mkoa uko unampa miezi sita tu unakuta kashapiga hatua wapumbavu kama wewe utaendelea kuwaita wakuja ila ndo wanaoshika uchumi wa Dar
 
Mihogo chakula
Hatukutaki dar kwani lazima kuja
 
Dar yenyewe mvua ikinyesha hata Postal panakuwa kama zizi la ng'ombe

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
Sisi ambao mmetukuta jiji mbona hatuwasimangi?
 
FYI wenye Dar yao hata hawaishi tena Dar. Dar ni commercial hub ya Tanzania, na haina mwenyewe.
Unaishi Kijiji gani huko mkoani? Unajifanya unajua Dar alafu hujui chochote!
 
Reactions: EEX
Bakini huko Bush kwenu kwa hao mademu zenu wasiojua kukata mauno, hii ndo Dar.
 
Hahaha [emoji1787][emoji1787]mtani wangu umempa za uso huyo jamaa mm nimekuja dar nikapokelewa na mzaramo na akanipa ramani ya maisha mpaka leo nimetoboa na wala sijawahi msikia akitamba labda tukiwa tunataniana tu.Respect sana kwa wazaramo kwanza mtani dada zako wanajua kutupa raha [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…