Kinachotoke mkuu ni hofu kwa raia maana vile walivyo vaa na yale maslaa wtz hatujazoea asa mtu akiwaona na to anaanza kutetemeka na wale mabwana wakishakuona ivyo to wanaanza kama utani kukugusa nalifimbo usipokaza saut kujitetea na maswali yao ndo kweli wanakuchapa inabidi wabadirike kwa mtindo ule raia wataama nyumba zaoInasikitisha sana mkuu ila tutafanyaje watu watapigwa bila huruma
Si kweli mkuu nawale wanaoshushwa kwenye magari mikono juu vip? Wanawafahamu awo waalifu waache ubabe watumie busara ndo kazi itakua raisAcha wapigwe tu hiyo jamii ni ya kiharifu na haitaki kutoa ushirikiano wowote na police ili kufichua wahalifu hakuna mtu mwema maeneo yale wapigwe tu.
Utawalipa ? Pia wanaweza kwenda mahakamani kupinga ?Enzi za mwl. kulikuwa na wizi wa ng'ombe sana kule Tarime. Kukaja na wazo kuwa, ukipigiwa kura ya wizi kuwa weye ni mwizi wa ng'ombe ulihamishwa na serekali wewe na familia yako ukapelekwa Mtwara au Nachingwea na ni marufuku kukanyaga Darisalama au Dodoma na sehemu za karibu na kwenu. Wizi ulipungua kama sio kwisha.
Wazo langu;
Tusiwapige raia wema, tuwahamishie Mbeya na vijiji vyao tuweke watu wengine watakao shirikiana na Mwingulu kumaliza tatizo hili. Hao jamaa wamejizatiti kweli kweli. Sio watu wa kubeza. Si unajua tena ni watu wa dini ileeee. Toa watu hapa peleka kulee leta wengine waje kukaa hapo. Kwani mbona vijiji vya ujamaa viliwezekana kuanzishwa?? Hao wenyeji ni wangapi?? Mbona tunaona mapori tuu??
kesho atapigwa mama yako, usishabikie uhalifuHakuna Namna. Viboko Vitembezwe Tu Tena Sana TU
Halafu eti Nyerere anataka awe mtakatifu! Ukatili wa hivyo eti awe mtakatifu. katoliki ni dini ya wakoloni, watesajiKama polisi anakuja anapiga RAIA asiyekuwa na hatia, ni bora kumsaidia jambazi ampige polisi anayepiga raia.
Kuna tafsiri panatu katika neno uzalendo, ilakwa hao nduguzetu wa huko kitendo chakizalendo ambacho wangetakiwa kufanya "kama hawakufanya" nikutoa taarifa ya mwenendo wa vitendo vya kihalifu ambavyo vinaweza kusababisha madhara kwa taifa.Uzalendo ni Nini??
Haya mamneno yako ndiombinu mbadala??.Kwa hiyo kuwachapa ndo kuwafundisha uzalendo au ndo kuendeleza chuki na wananch, nahisi wewe ni askari na ulienda CCP kwa division iv ya 34 , ndo maana mnakufa askari kama wa aina yako akili hamna kabisa yaani mnakwenda kama makondoo tu!. Badala ya kujenga urafiki na raia ili wawe huru kuwadokeza kuhusu wahalifu , mnawachapa viboko halafu mnapovamiwa na wahalifu mnataka tuwaite mashujaa? Kwa lipi, kuchapa watu au, ? Pimbi wewe ng'cha!
Kama polisi anakuja anapiga RAIA asiyekuwa na hatia, ni bora kumsaidia jambazi ampige polisi anayepiga raia.
samahani mkuu naomba nikuulize. hivi kwa mfano leo hii likatokea tukio kama la mkuranga hapo ulipo. je, utatoa ushirikiano kwa kuwataja waliotenda huo unyama?Acha wapigwe tu hiyo jamii ni ya kiharifu na haitaki kutoa ushirikiano wowote na police ili kufichua wahalifu hakuna mtu mwema maeneo yale wapigwe tu.