Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

Inasikitisha sana mkuu ila tutafanyaje watu watapigwa bila huruma
Kinachotoke mkuu ni hofu kwa raia maana vile walivyo vaa na yale maslaa wtz hatujazoea asa mtu akiwaona na to anaanza kutetemeka na wale mabwana wakishakuona ivyo to wanaanza kama utani kukugusa nalifimbo usipokaza saut kujitetea na maswali yao ndo kweli wanakuchapa inabidi wabadirike kwa mtindo ule raia wataama nyumba zao
 
Acha wapigwe tu hiyo jamii ni ya kiharifu na haitaki kutoa ushirikiano wowote na police ili kufichua wahalifu hakuna mtu mwema maeneo yale wapigwe tu.
 
Acha wapigwe tu hiyo jamii ni ya kiharifu na haitaki kutoa ushirikiano wowote na police ili kufichua wahalifu hakuna mtu mwema maeneo yale wapigwe tu.
Si kweli mkuu nawale wanaoshushwa kwenye magari mikono juu vip? Wanawafahamu awo waalifu waache ubabe watumie busara ndo kazi itakua rais
 
Enzi za mwl. kulikuwa na wizi wa ng'ombe sana kule Tarime. Kukaja na wazo kuwa, ukipigiwa kura ya wizi kuwa weye ni mwizi wa ng'ombe ulihamishwa na serekali wewe na familia yako ukapelekwa Mtwara au Nachingwea na ni marufuku kukanyaga Darisalama au Dodoma na sehemu za karibu na kwenu. Wizi ulipungua kama sio kwisha.
Wazo langu;
Tusiwapige raia wema, tuwahamishie Mbeya na vijiji vyao tuweke watu wengine watakao shirikiana na Mwingulu kumaliza tatizo hili. Hao jamaa wamejizatiti kweli kweli. Sio watu wa kubeza. Si unajua tena ni watu wa dini ileeee. Toa watu hapa peleka kulee leta wengine waje kukaa hapo. Kwani mbona vijiji vya ujamaa viliwezekana kuanzishwa?? Hao wenyeji ni wangapi?? Mbona tunaona mapori tuu??
Utawalipa ? Pia wanaweza kwenda mahakamani kupinga ?
 
Wanawatengeneza ma-snipers wenyewe halafu wanakuja kulialia huku
 
Kama polisi anakuja anapiga RAIA asiyekuwa na hatia, ni bora kumsaidia jambazi ampige polisi anayepiga raia.
Halafu eti Nyerere anataka awe mtakatifu! Ukatili wa hivyo eti awe mtakatifu. katoliki ni dini ya wakoloni, watesaji
 
Uzalendo ni Nini??
Kuna tafsiri panatu katika neno uzalendo, ilakwa hao nduguzetu wa huko kitendo chakizalendo ambacho wangetakiwa kufanya "kama hawakufanya" nikutoa taarifa ya mwenendo wa vitendo vya kihalifu ambavyo vinaweza kusababisha madhara kwa taifa.
 
Kwa hiyo kuwachapa ndo kuwafundisha uzalendo au ndo kuendeleza chuki na wananch, nahisi wewe ni askari na ulienda CCP kwa division iv ya 34 , ndo maana mnakufa askari kama wa aina yako akili hamna kabisa yaani mnakwenda kama makondoo tu!. Badala ya kujenga urafiki na raia ili wawe huru kuwadokeza kuhusu wahalifu , mnawachapa viboko halafu mnapovamiwa na wahalifu mnataka tuwaite mashujaa? Kwa lipi, kuchapa watu au, ? Pimbi wewe ng'cha!
Haya mamneno yako ndiombinu mbadala??.

Tuliza akili weka mbinu mbadala mkuu, kama huna shut the bowl up please.
 
Huwa namwelewa sana mtu anesema tanzania ni nchi ya ulimwengu wa tatu.Lakini Wakati huo huo tukiwa sehemu moja na watu wanaosema wako ulimwengu wa kwanza.
 
Acha wapigwe tu hiyo jamii ni ya kiharifu na haitaki kutoa ushirikiano wowote na police ili kufichua wahalifu hakuna mtu mwema maeneo yale wapigwe tu.
samahani mkuu naomba nikuulize. hivi kwa mfano leo hii likatokea tukio kama la mkuranga hapo ulipo. je, utatoa ushirikiano kwa kuwataja waliotenda huo unyama?
kaa huwafahamu, utalichukuliaje suala la askari kuja na kuanza kukupiga ili uwataje wahusika na angari huwafahamu? fikiria mara mbili kabla ya kufurahia matukio yasiyo ya kibinadamu kwa wasio wahusika

ujue tusishabikie kupigwa kwa raia na hawa walinzi wa mali na raia wenyewe.
hii inaleta uhasama kati ya raia na walinzi wao. je, unajua nini kitatokea endapo tatizo hilo litakua sugu? raia hawatauona umuhimu wa polisi

kwa pamoja inatubidi tukee mbinu hii maana naona ni ya kinyama. kwanza inawatia wananchi hofu na kuwapotezea muda wa uzalishaji ikiwa ni pamoja na kuwapa maumivu ambayo sio stahili yao.

kwa upande wangu mimi ningependa kulishauri jeshi la polisi kuboresha upelelezi ili waweze kuwabaini wahusika wa kweli wa matukio haya ya klinyama ya kuwaua askari wetu. waache kutumia muda na nguvu nyingi kuwapa maumivu wanachi ambao wanapaswa kuwalinda
 
Bora wasaidie majambazi unapomchapa mamaangu nitakuacha si bora niuze mbuzi nikanunue silaha niingie msituni kwani uasi unaanzaje ,labda kwa watu ambao hawajatoka nje ya tz
 
Kama hawataki kulisaidi jeshi la polisi kuwapata waharifu, Unataka wawabembeleze? Piga mikwaji mpaka washike adabu waache kuficha waarifu.
 
Brother magu Jana aliwaomba watanzania kumuombea
Sasa hii ya kamyora sijui ndio style ya kuomba kuombeawa kwa vichapo na mijeredi toka kwa watu ambao wanalipwa kodi na watanzania
Haiwezekani mtumishi ampige bosi wake alafu eti kesho atoe ushirikiano kwa mtumishi mbabe
 
Back
Top Bottom