Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Namna. Viboko Vitembezwe Tu Tena Sana TU
Unasoma darasa la ngapi wewe kijana??Kuna tafsiri panatu katika neno uzalendo, ilakwa hao nduguzetu wa huko kitendo chakizalendo ambacho wangetakiwa kufanya "kama hawakufanya" nikutoa taarifa ya mwenendo wa vitendo vya kihalifu ambavyo vinaweza kusababisha madhara kwa taifa.
Ungeona kinachitokea wala usingeandika icho ulicho andikaKuua waue.....viboko wasipigwe.....chapeni sana hao!
Natumaini wenye viti vya serikalini hata mbunge wa maeneo hayo nao waongelee, ili watueleze kinachojiri kiundani.
Bila hivyo habari hii itaonekana ni uongo tu.
Sijui, lakini nadhani saazingine inabidi nguvu itumike kidogo ili kuweka mambo sawa.Ccp wanafundishwa kucharaza wananchi viboko?
umeleta habari ki-udaku sana!Kufuatia kitendo cha jeshi la polisi kukumbwa na mfululizo wa mauji ya walinda amani wetu kwa uweledi wa hali ya juu kabisa wakazi wa barabara kati ya kibiti na Mkuranga wamechezea fimbo mchana kweupe.. na kulazimishwa kulala saa kumi na moja jioni
Wakazi hao na watanzania kiujumla hatujatangaziwa kwa nini mauaji haya yaendelee either kwa sababu za kiusalama au vinginevyo ila kinachoshangaza ni hii strategy ya kisasa kabisa yakuchezesha raia fimbo
Kwa mujibu wa shuhuda wa macho wanasema waliokua wanapigwa ni akina mama wenye watoto,vijana,na yeyote yule ambae alikua anakutwa na polisi etc, sababu iliyosababisha kukimbia vijiji kwa muda na walipohoji hawakupata majibu
Katika vipigo hivyo heavy inasemekana wengine imewalazumu kujiuguza maumivu ma hospitalini au ku survive na panadol(pain killers)
Kitu ambacho labda tunapaswa kujiuliza kwa mbinu hii je hawa raia wataleta tena ushirikiano wakutoa taarifa za siri kwa polisi? Perception yao itakuaje kwa jeshi la polisi?wataona utofauti wowote kati ya jeshi la polisi na hao wanajambazi wanaosakwa?au mbinu hii ya ku sideline moja kwa moja raia katika mapambano haya ndio imekua suluhisho pekee?
Ni muda sasa wa jeshi la polisi kufanyiwa reform kwani tumerithi mbinu za kikoloni katika utendaji kazi wake
uhongo.Kila kitu kinaanza kama Uhongo hata zile pesa za Escrow mlisema ni Uhongo na ya Lugumi mlisema ni Uhongo ni kawaida ya watanzania kukataa ukweli
Mkuu una utani na nano hasa?,. Maana Luna MTU umemtag bila shaka.wale wenye Noah nyeusi waende na mbwembwe zao huko vichakani mkurunga wakawateke hawa mashetan walioua kikatili ndugu zetu polisi.
Kwani si wamesema wauaji wameshauawa..??????? Au ilikuwa sinema...???
Halafu eti Nyerere anataka awe mtakatifu! Ukatili wa hivyo eti awe mtakatifu. katoliki ni dini ya wakoloni, watesaji
Najiuliza umemaliza shule weweHakuna Namna. Viboko Vitembezwe Tu Tena Sana TU
Nimepita maeneo yote Leo hakuna unyama uliofanywa wa kupigwa kwa Wilaya ya Mkuranga.polisi bana
You are right msilete uchocheziNatumaini wenye viti vya serikalini hata mbunge wa maeneo hayo nao waongelee, ili watueleze kinachojiri kiundani.
Bila hivyo habari hii itaonekana ni uongo tu.