Uchaguzi 2020 Watu wa Mungu, Tutamchagua Tundu Lissu

WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.

Na, Robert Heriel

Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu.

Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu. Mungu ametupa watanzania Tundu Lisu ili tumchague awe kiongozi wa taifa hili ndio maana alimponya na mdomo wa mauti siku ile alipopigwa risasi.

Tundu Lisu atachaguliwa na watu wa Mungu, wapendao haki, hao wanaojua thamani ya maisha, hao wajuao thamani ya haki, hao wajuao thamani ya Uhuru kwa maana kupitia hayo ndio maendeleo huja.

Ndugu watu wa Mungu na wala sio watu wote kwani najua wapo waovu, Tumchague Tundu Lisu kwa sababu amethubutu kutuonyesha thamani ya haki, na uhuru. Amejaribu kutueleza kizazi cha sasa yale tuliyoyasoma katika historia za kale, historia za mashujaa waliotetea haki kama vile Kina Daniel, Isaya, Yohana Mbatizaji, Yesu wa Nazareth, Stephano, Paulo, Petro, na Mtume Muhamad (S.AW). Mashujaa hao walitetea haki kama tulivyosoma.

Ndugu watu wa dini zote mulio watu wa Mungu, kura zetu tunajua pa kuzipeleka, tumpe Tundu Lisu kwa sababu ni mmoja wetu. Mmoja wa mashahidi waaminifu wa kutetea haki, sio kwa mdomo tuu bali hata kwa vitendo amethibitisha jambo hilo.

Lisu ni shahidi mwaminifu aliyepo kwenye siasa, ni mwenzetu, ni lazima tumuunge mkono sisi wapenda haki.

Nafahamu wapo watakaompigia kura kwa sababu zao za kisiasa lakini sisi tunaojua kusudi la kumuacha Lisu awe hai ambalo ni kutetea haki tutamchagua kwa sababu ya haki.

Wapenda haki hatujawahi kutishwa na waovu, hata kama Mungu aliwapa sifa pengine zaidi yetu, lakini aliwanyima sifa kuu ya lazima ambayo ni sifa ya wema, Wanadhani uovu wao utawasaidia lakini ni kwa kitambo kidogo tuu kisichozidi karne mmoja, nao watapotea na kuangamia katika maovu yao. Hakuna atakaye watetea muda utakapofika.

Ndugu wapenda haki, hatumchagui Lisu kwa sababu yupo CHADEMA, Bali tunamchagua kwa sababu ni mmoja wetu wa wapenda haki, kwani tunafahamu hata CHADEMA wapo watu wadhalimu pia.

Watu wa haki, tarehe 28/10/2020 tukapige kura za haki, tukamchague Tundu Lisu, Huyo wanaomuita kilema walichomuweka hao hao waovu ndio tukamchague.

Lisu amepewa kilema na wanadamu, kilema cha miguu, lakini hakupewa kilema cha rohoni kama walivyowaovu ambao huchechemea katika roho zao. Hao wenye vilema vya rohoni ambao hutaka sisi tuwe kama wao lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya kuudhuru mwili huu uharibikao.

Hata Musa alikuwa na Kilema cha kuongea tena kilema cha asili lakini hakuwa na kilema cha roho.

Tukamchague Tundu Lisu.

Wala hatuombi kura za waovu, wala hatutaki waovu watupigie kura isipokuwa wale wahitajio haki.

Hao wasiopenda haki hatutaki mumpigie kura Tundu Lisu, hatutaki kura zenu.

Ndugu wana wa Mungu, tusimkwamishe shahidi mwaminifu mwenzetu Tundu Lisu, siku hiyo kwa pamoja tukapige kura,
sisi na wake wetu, sisi ni watoto wetu, na kama wazazi wetu nao ni wapenda haki nao tutaenda nao, lakini kama watakuwa upande wa pili, wasitake haki itawale wala isituume.

Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi.

Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma.

Watu wa Mungu mnafahamu kuwa wapo viongozi wajifanyao ni viongozi wa dini lakini wasioitaka haki itawale. Hao msiwasikilize, hao walikuwepo tangu kale, huitwa wachungaji wa mishahara, hao ni watumwa wa matumbo yao. Wameichagua dhuluma ili matumbo yao yasikose chakula. Wapuuzeni hao.

Narudia, hatutaki kura za watu waovu, wala hatuwabembelezi kuipigia haki. Kwa maana kura yao ni sawa na sadaka ya haramu ambayo kumtolea Mungu ni kosa.

Hata Tundu Lisu asiposhinda kwa kura lakini wewe uliyemcha Mungu usiwe sababu ya kumfanya ashindwe kwa kura kwa kutokumpigia kura.

Tukapige kura, Lisu ni Shahidi mwaminifu, ni ishara kwetu kuwa Bado Mungua anaishi. Tena tusikate tamaa kwa kutishwa na waovu. Waovu wasituzidi ujasiri.

Naomba wale tutakaompigia kura Tundu Lisu siku hiyo ya tarehe 28 tuandae kadi za kura kwa ajili ya kumtkuza Mungu siku hiyo.

Nimalize kwa mfano huu;
Mathayo 4;
8. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
9. akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
10. Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa:
‘Utamwabudu Bwana Mungu wako
na kumtumikia yeye peke yake.’”
11. Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.

Watu huovu hupenda kuabudiwa kama Baba yao Ibilisi, hukuambia uwe upande wao kama unataka akupe ajira, kama unataka akuongezee mshahara, kama unataka akupe cheo cha juu, kama unataka akuletee maendeleo. Usipomchagua atakuambia sitakupa hayo yote.

Lakini watu wapenda haki hawapendi kuabudiwa, umchague usimchague ni sawa, wanajali UHURU wako, wanajali HAKI za maamuzi ya watu. Ndio maana Mungu hata kama hamuabudu lakini hawezi kukunyima haki zako, uhuru wako, anajua hayo ni maamuzi yako.

Msichague waovu, hupenda kuabudiwa, wewe tangu ulipomchague muovu ndiye shetani ipi faida umepata.

Chagua haki, nawe hautaabudu watu.
Hutaogopa binadamu bali utamwogopa Mungu pekeake. Yaani usiwaseme watu kisa watakufanyia uovu, ndugu zangu, kamwe tusiwafundishe watu kuogopa waovu, tufundishe watu kumuogopa Mungu kwa kupinga waovu.

Chagua Lisu, chagua Lisu, Shahidi mwaminifu.

Ulikuwa nami;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Arusha
Lini mtu wa Mungu akachagua ushoga?
 
Kamdanganye mmako. Magufuli alikwenda kujifungia Chattle majuma 6. Eti unajifanya haujui? Acha ungese huo. Hukuona Watanzania wakizikwa usiku wa manane wakati yeye haonekani. Halafu unafikiri hapa TBC. Eti mnamsifia eti, korona...
Huyo aliponywa na ibirisi,
Mtu wa mungu hawezi kubeza nguvu ya mungu wakati wa corona alishiriki kusema corona ni jambo la ki sayansi,
Hivyo hana nguvu ya mungu,
Bali ni matunguli yalimponya.
Bado amekuwa akibeza kuwa raisi magufuli si mwamini mungu bali ni muongo.
Kwa hiyo yeye ndio anafanya utambuzi wa mungu?
Huyo ni shetani wa ulaya kwa sasa.
 
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.

Na, Robert Heriel

Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu.

Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu. Mungu ametupa watanzania Tundu Lisu ili tumchague awe kiongozi wa taifa hili ndio maana alimponya na mdomo wa mauti siku ile alipopigwa risasi.

Tundu Lisu atachaguliwa na watu wa Mungu, wapendao haki, hao wanaojua thamani ya maisha, hao wajuao thamani ya haki, hao wajuao thamani ya Uhuru kwa maana kupitia hayo ndio maendeleo huja.

Ndugu watu wa Mungu na wala sio watu wote kwani najua wapo waovu, Tumchague Tundu Lisu kwa sababu amethubutu kutuonyesha thamani ya haki, na uhuru. Amejaribu kutueleza kizazi cha sasa yale tuliyoyasoma katika historia za kale, historia za mashujaa waliotetea haki kama vile Kina Daniel, Isaya, Yohana Mbatizaji, Yesu wa Nazareth, Stephano, Paulo, Petro, na Mtume Muhamad (S.AW). Mashujaa hao walitetea haki kama tulivyosoma.

Ndugu watu wa dini zote mulio watu wa Mungu, kura zetu tunajua pa kuzipeleka, tumpe Tundu Lisu kwa sababu ni mmoja wetu. Mmoja wa mashahidi waaminifu wa kutetea haki, sio kwa mdomo tuu bali hata kwa vitendo amethibitisha jambo hilo.

Lisu ni shahidi mwaminifu aliyepo kwenye siasa, ni mwenzetu, ni lazima tumuunge mkono sisi wapenda haki.

Nafahamu wapo watakaompigia kura kwa sababu zao za kisiasa lakini sisi tunaojua kusudi la kumuacha Lisu awe hai ambalo ni kutetea haki tutamchagua kwa sababu ya haki.

Wapenda haki hatujawahi kutishwa na waovu, hata kama Mungu aliwapa sifa pengine zaidi yetu, lakini aliwanyima sifa kuu ya lazima ambayo ni sifa ya wema, Wanadhani uovu wao utawasaidia lakini ni kwa kitambo kidogo tuu kisichozidi karne mmoja, nao watapotea na kuangamia katika maovu yao. Hakuna atakaye watetea muda utakapofika.

Ndugu wapenda haki, hatumchagui Lisu kwa sababu yupo CHADEMA, Bali tunamchagua kwa sababu ni mmoja wetu wa wapenda haki, kwani tunafahamu hata CHADEMA wapo watu wadhalimu pia.

Watu wa haki, tarehe 28/10/2020 tukapige kura za haki, tukamchague Tundu Lisu, Huyo wanaomuita kilema walichomuweka hao hao waovu ndio tukamchague.

Lisu amepewa kilema na wanadamu, kilema cha miguu, lakini hakupewa kilema cha rohoni kama walivyowaovu ambao huchechemea katika roho zao. Hao wenye vilema vya rohoni ambao hutaka sisi tuwe kama wao lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya kuudhuru mwili huu uharibikao.

Hata Musa alikuwa na Kilema cha kuongea tena kilema cha asili lakini hakuwa na kilema cha roho.

Tukamchague Tundu Lisu.

Wala hatuombi kura za waovu, wala hatutaki waovu watupigie kura isipokuwa wale wahitajio haki.

Hao wasiopenda haki hatutaki mumpigie kura Tundu Lisu, hatutaki kura zenu.

Ndugu wana wa Mungu, tusimkwamishe shahidi mwaminifu mwenzetu Tundu Lisu, siku hiyo kwa pamoja tukapige kura,
sisi na wake wetu, sisi ni watoto wetu, na kama wazazi wetu nao ni wapenda haki nao tutaenda nao, lakini kama watakuwa upande wa pili, wasitake haki itawale wala isituume.

Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi.

Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma.

Watu wa Mungu mnafahamu kuwa wapo viongozi wajifanyao ni viongozi wa dini lakini wasioitaka haki itawale. Hao msiwasikilize, hao walikuwepo tangu kale, huitwa wachungaji wa mishahara, hao ni watumwa wa matumbo yao. Wameichagua dhuluma ili matumbo yao yasikose chakula. Wapuuzeni hao.

Narudia, hatutaki kura za watu waovu, wala hatuwabembelezi kuipigia haki. Kwa maana kura yao ni sawa na sadaka ya haramu ambayo kumtolea Mungu ni kosa.

Hata Tundu Lisu asiposhinda kwa kura lakini wewe uliyemcha Mungu usiwe sababu ya kumfanya ashindwe kwa kura kwa kutokumpigia kura.

Tukapige kura, Lisu ni Shahidi mwaminifu, ni ishara kwetu kuwa Bado Mungua anaishi. Tena tusikate tamaa kwa kutishwa na waovu. Waovu wasituzidi ujasiri.

Naomba wale tutakaompigia kura Tundu Lisu siku hiyo ya tarehe 28 tuandae kadi za kura kwa ajili ya kumtkuza Mungu siku hiyo.

Nimalize kwa mfano huu;
Mathayo 4;
8. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
9. akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
10. Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa:
‘Utamwabudu Bwana Mungu wako
na kumtumikia yeye peke yake.’”
11. Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.

Watu huovu hupenda kuabudiwa kama Baba yao Ibilisi, hukuambia uwe upande wao kama unataka akupe ajira, kama unataka akuongezee mshahara, kama unataka akupe cheo cha juu, kama unataka akuletee maendeleo. Usipomchagua atakuambia sitakupa hayo yote.

Lakini watu wapenda haki hawapendi kuabudiwa, umchague usimchague ni sawa, wanajali UHURU wako, wanajali HAKI za maamuzi ya watu. Ndio maana Mungu hata kama hamuabudu lakini hawezi kukunyima haki zako, uhuru wako, anajua hayo ni maamuzi yako.

Msichague waovu, hupenda kuabudiwa, wewe tangu ulipomchague muovu ndiye shetani ipi faida umepata.

Chagua haki, nawe hautaabudu watu.
Hutaogopa binadamu bali utamwogopa Mungu pekeake. Yaani usiwaseme watu kisa watakufanyia uovu, ndugu zangu, kamwe tusiwafundishe watu kuogopa waovu, tufundishe watu kumuogopa Mungu kwa kupinga waovu.

Chagua Lisu, chagua Lisu, Shahidi mwaminifu.

Ulikuwa nami;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Arusha
Sina cha kuongeza Mkuu. Umemaliza yote. Na iwe hivyo. Amina.
 
Mtakoma mwwka huu. Mtafungua Id fake hadi vidole vichubuke. Kipele kimepata mjunaji Lissu
Punguza kisabengo kijana, na kisha tukutane baada ya uchaguzi kama hujabadiri msimamo!!

JPM anashindana na wagombea dhaifu haijapata Kutokea tangu uhuru
 
NEC kuweni makini, Chadema wamesha ona kipigo kizito ndani ya sanduku la kura wanatafuta mtu wa kumrushia Lawama msipoangalia wanaweza susia uchaguzi dakika yoyote kutoka sasa ili Lawama ziwe juu yenu.
 
Infact
 
Hata kura kati ya Baraba na Yesu kuhusu nani asulubiwe. Baraba alishinda, kwa sababu alikuwa na wapiga kura wengi,
Yesu mwenye haki akasulubiwa.

Kushinda kura katika haki na uovu inategemea uwiano baina ya wapenda haki na wapenda dhulma
Mkuu umebadili gia angani

sasa ukaoge maji ya chumvi ama ya bahari ili kura za Lisu ziwe nyingiii hadi waishiwe pozi la kuiba

gundu la Kigamboni linahitaji kuoshwa
 
KWA MAENDELEO YA KWELI CHAGUA MAGUFULI, MAGUFULI, MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI
#ChaguaMagufuli

Watu wa Mungu tutamchagua Rais Magufuli
 
CHADEMA NAO JAMANI MTATUKATISHA TAMAA YA KUPIGA KURA SASA. HILI SUALA LA MAWAKALA MSIPOKUWA NALO MAKINI KUTAKUWA HAKUNA HAJA YA KUSHIRIKI UCHAGUZI NA LISSU USAHAU HUO URAIS. HAKUNA HAJA YA KUENDELEA NA MACAMPAIGN HUKU MAWAKALA HAKUNA AU HAWAJAAPISHWA AU MMECHEZEWA ROUGH WAMEAPA MAMLUKI. MUDA ULIOONGEZWA HILI LIANGALIWE, MUWE NA MAWAKALA HALALI.
 
Kwa mara ya kwanza hata shetani amemkataa Magufuli atampigia kura Lissu.
 
Hivi watu wa Mungu ndio wenyekupigia Promo Sodoma???
 
Nyie sio watu wa mungu labda mashetani Mana video yenu ya kukubali ushoga imezagaa kila kona
 
Ukishajipachika jina la kizungu basi tayari unajiona umekuwa mtu wa Mungu, ha ha ha.
 
Back
Top Bottom