Uchaguzi 2020 Watu wa Mungu, Tutamchagua Tundu Lissu

Watu wa Mungu yupi, aliteketeza Sodoma na Gomora au Mungu wa Kuzimu? Acheni kutumia hilo jina vibaya kwa kukubali ajenda za ndoa ya jinsia moja eti ndo hitaji la watu wa Mungu
Mashoga wako salama Tanzania- Kangi Lugola.
 
Propaganda haitakusaidia hapa.

Ni heri shetani anayetenda haki(kwani hakuna shetani hawezi kutenda haki) Kuliko malaika anayetenda dhuluma(malaika hawezi tenda dhuluma)

Hivyo ukiona mtu anaitwa shetani alafu anatenda haki basi jua hizo ni propaganda za kumchafua ili aonekane mbaya kumbe yeye ni mwema.
Ukiona mtu anaitwa malaika alafu anatenda dhuluma basi jua hizo ni propaganda za kumsifia kumbe ni shetani

Matendo ndio yanamdhihirsha mtu sio maneno ya kuambiwa au kujiambia
Ainisha uovu wa Tundu lisu utushawishi.
 
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.

Na, Robert Heriel

Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu.

Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu. Mungu ametupa watanzania Tundu Lisu ili tumchague awe kiongozi wa taifa hili ndio maana alimponya na mdomo wa mauti siku ile alipopigwa risasi.

Tundu Lisu atachaguliwa na watu wa Mungu, wapendao haki, hao wanaojua thamani ya maisha, hao wajuao thamani ya haki, hao wajuao thamani ya Uhuru kwa maana kupitia hayo ndio maendeleo huja.

Ndugu watu wa Mungu na wala sio watu wote kwani najua wapo waovu, Tumchague Tundu Lisu kwa sababu amethubutu kutuonyesha thamani ya haki, na uhuru. Amejaribu kutueleza kizazi cha sasa yale tuliyoyasoma katika historia za kale, historia za mashujaa waliotetea haki kama vile Kina Daniel, Isaya, Yohana Mbatizaji, Yesu wa Nazareth, Stephano, Paulo, Petro, na Mtume Muhamad (S.AW). Mashujaa hao walitetea haki kama tulivyosoma.

Ndugu watu wa dini zote mulio watu wa Mungu, kura zetu tunajua pa kuzipeleka, tumpe Tundu Lisu kwa sababu ni mmoja wetu. Mmoja wa mashahidi waaminifu wa kutetea haki, sio kwa mdomo tuu bali hata kwa vitendo amethibitisha jambo hilo.

Lisu ni shahidi mwaminifu aliyepo kwenye siasa, ni mwenzetu, ni lazima tumuunge mkono sisi wapenda haki.

Nafahamu wapo watakaompigia kura kwa sababu zao za kisiasa lakini sisi tunaojua kusudi la kumuacha Lisu awe hai ambalo ni kutetea haki tutamchagua kwa sababu ya haki.

Wapenda haki hatujawahi kutishwa na waovu, hata kama Mungu aliwapa sifa pengine zaidi yetu, lakini aliwanyima sifa kuu ya lazima ambayo ni sifa ya wema, Wanadhani uovu wao utawasaidia lakini ni kwa kitambo kidogo tuu kisichozidi karne mmoja, nao watapotea na kuangamia katika maovu yao. Hakuna atakaye watetea muda utakapofika.

Ndugu wapenda haki, hatumchagui Lisu kwa sababu yupo CHADEMA, Bali tunamchagua kwa sababu ni mmoja wetu wa wapenda haki, kwani tunafahamu hata CHADEMA wapo watu wadhalimu pia.

Watu wa haki, tarehe 28/10/2020 tukapige kura za haki, tukamchague Tundu Lisu, Huyo wanaomuita kilema walichomuweka hao hao waovu ndio tukamchague.

Lisu amepewa kilema na wanadamu, kilema cha miguu, lakini hakupewa kilema cha rohoni kama walivyowaovu ambao huchechemea katika roho zao. Hao wenye vilema vya rohoni ambao hutaka sisi tuwe kama wao lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya kuudhuru mwili huu uharibikao.

Hata Musa alikuwa na Kilema cha kuongea tena kilema cha asili lakini hakuwa na kilema cha roho.

Tukamchague Tundu Lisu.

Wala hatuombi kura za waovu, wala hatutaki waovu watupigie kura isipokuwa wale wahitajio haki.

Hao wasiopenda haki hatutaki mumpigie kura Tundu Lisu, hatutaki kura zenu.

Ndugu wana wa Mungu, tusimkwamishe shahidi mwaminifu mwenzetu Tundu Lisu, siku hiyo kwa pamoja tukapige kura,
sisi na wake wetu, sisi ni watoto wetu, na kama wazazi wetu nao ni wapenda haki nao tutaenda nao, lakini kama watakuwa upande wa pili, wasitake haki itawale wala isituume.

Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi.

Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma.

Watu wa Mungu mnafahamu kuwa wapo viongozi wajifanyao ni viongozi wa dini lakini wasioitaka haki itawale. Hao msiwasikilize, hao walikuwepo tangu kale, huitwa wachungaji wa mishahara, hao ni watumwa wa matumbo yao. Wameichagua dhuluma ili matumbo yao yasikose chakula. Wapuuzeni hao.

Narudia, hatutaki kura za watu waovu, wala hatuwabembelezi kuipigia haki. Kwa maana kura yao ni sawa na sadaka ya haramu ambayo kumtolea Mungu ni kosa.

Hata Tundu Lisu asiposhinda kwa kura lakini wewe uliyemcha Mungu usiwe sababu ya kumfanya ashindwe kwa kura kwa kutokumpigia kura.

Tukapige kura, Lisu ni Shahidi mwaminifu, ni ishara kwetu kuwa Bado Mungua anaishi. Tena tusikate tamaa kwa kutishwa na waovu. Waovu wasituzidi ujasiri.

Naomba wale tutakaompigia kura Tundu Lisu siku hiyo ya tarehe 28 tuandae kadi za kura kwa ajili ya kumtkuza Mungu siku hiyo.

Nimalize kwa mfano huu;
Mathayo 4;
8. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
9. akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
10. Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa:
‘Utamwabudu Bwana Mungu wako
na kumtumikia yeye peke yake.’”
11. Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.

Watu huovu hupenda kuabudiwa kama Baba yao Ibilisi, hukuambia uwe upande wao kama unataka akupe ajira, kama unataka akuongezee mshahara, kama unataka akupe cheo cha juu, kama unataka akuletee maendeleo. Usipomchagua atakuambia sitakupa hayo yote.

Lakini watu wapenda haki hawapendi kuabudiwa, umchague usimchague ni sawa, wanajali UHURU wako, wanajali HAKI za maamuzi ya watu. Ndio maana Mungu hata kama hamuabudu lakini hawezi kukunyima haki zako, uhuru wako, anajua hayo ni maamuzi yako.

Msichague waovu, hupenda kuabudiwa, wewe tangu ulipomchague muovu ndiye shetani ipi faida umepata.

Chagua haki, nawe hautaabudu watu.
Hutaogopa binadamu bali utamwogopa Mungu pekeake. Yaani usiwaseme watu kisa watakufanyia uovu, ndugu zangu, kamwe tusiwafundishe watu kuogopa waovu, tufundishe watu kumuogopa Mungu kwa kupinga waovu.

Chagua Lisu, chagua Lisu, Shahidi mwaminifu.

Ulikuwa nami;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Arusha
Lets enjoy our last 6 days Bro.
Baada ya 28/Dec tukutane kwenye wimbo wetu "TUMEIBIWAAAAAA!"
Hii ngoma hata Mange Kimambi kishaijua. Ndo maana siku hizi anawapost akina Mobeto na Zari tu!
WATCH IT!
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
 
Safari hii ndio mtajua Kama hamjui
 
Hatuwezi kuchagua mtu ambaye anaongeza idadi ya mashetani Tanzania, Tangia aingie madarakani 2015, kazi kubwa imefanyika kushusha watu wote waliokuwa wakiishi kitakatifu na kuwageuza kuishi na binadamu wenzao kama mashetani!
 
WATU WA MUNGU TUTAMCHAGUA TUNDU LISU.

Na, Robert Heriel

Sisi watu wa Mungu, wapenda haki, wakataaji wa dhuluma, wakataaji wa utesaji, wapinga umungu mtu, wapenda uhuru, sisi tunaopenda umoja, tutampigia kura Tundu Lisu.

Nilishasema Kura ya Mungu aliyeumba mbingu na nchi ipo kwa Tundu Lisu. Mungu ametupa watanzania Tundu Lisu ili tumchague awe kiongozi wa taifa hili ndio maana alimponya na mdomo wa mauti siku ile alipopigwa risasi.

Tundu Lisu atachaguliwa na watu wa Mungu, wapendao haki, hao wanaojua thamani ya maisha, hao wajuao thamani ya haki, hao wajuao thamani ya Uhuru kwa maana kupitia hayo ndio maendeleo huja.

Ndugu watu wa Mungu na wala sio watu wote kwani najua wapo waovu, Tumchague Tundu Lisu kwa sababu amethubutu kutuonyesha thamani ya haki, na uhuru. Amejaribu kutueleza kizazi cha sasa yale tuliyoyasoma katika historia za kale, historia za mashujaa waliotetea haki kama vile Kina Daniel, Isaya, Yohana Mbatizaji, Yesu wa Nazareth, Stephano, Paulo, Petro, na Mtume Muhamad (S.AW). Mashujaa hao walitetea haki kama tulivyosoma.

Ndugu watu wa dini zote mulio watu wa Mungu, kura zetu tunajua pa kuzipeleka, tumpe Tundu Lisu kwa sababu ni mmoja wetu. Mmoja wa mashahidi waaminifu wa kutetea haki, sio kwa mdomo tuu bali hata kwa vitendo amethibitisha jambo hilo.

Lisu ni shahidi mwaminifu aliyepo kwenye siasa, ni mwenzetu, ni lazima tumuunge mkono sisi wapenda haki.

Nafahamu wapo watakaompigia kura kwa sababu zao za kisiasa lakini sisi tunaojua kusudi la kumuacha Lisu awe hai ambalo ni kutetea haki tutamchagua kwa sababu ya haki.

Wapenda haki hatujawahi kutishwa na waovu, hata kama Mungu aliwapa sifa pengine zaidi yetu, lakini aliwanyima sifa kuu ya lazima ambayo ni sifa ya wema, Wanadhani uovu wao utawasaidia lakini ni kwa kitambo kidogo tuu kisichozidi karne mmoja, nao watapotea na kuangamia katika maovu yao. Hakuna atakaye watetea muda utakapofika.

Ndugu wapenda haki, hatumchagui Lisu kwa sababu yupo CHADEMA, Bali tunamchagua kwa sababu ni mmoja wetu wa wapenda haki, kwani tunafahamu hata CHADEMA wapo watu wadhalimu pia.

Watu wa haki, tarehe 28/10/2020 tukapige kura za haki, tukamchague Tundu Lisu, Huyo wanaomuita kilema walichomuweka hao hao waovu ndio tukamchague.

Lisu amepewa kilema na wanadamu, kilema cha miguu, lakini hakupewa kilema cha rohoni kama walivyowaovu ambao huchechemea katika roho zao. Hao wenye vilema vya rohoni ambao hutaka sisi tuwe kama wao lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya kuudhuru mwili huu uharibikao.

Hata Musa alikuwa na Kilema cha kuongea tena kilema cha asili lakini hakuwa na kilema cha roho.

Tukamchague Tundu Lisu.

Wala hatuombi kura za waovu, wala hatutaki waovu watupigie kura isipokuwa wale wahitajio haki.

Hao wasiopenda haki hatutaki mumpigie kura Tundu Lisu, hatutaki kura zenu.

Ndugu wana wa Mungu, tusimkwamishe shahidi mwaminifu mwenzetu Tundu Lisu, siku hiyo kwa pamoja tukapige kura,
sisi na wake wetu, sisi ni watoto wetu, na kama wazazi wetu nao ni wapenda haki nao tutaenda nao, lakini kama watakuwa upande wa pili, wasitake haki itawale wala isituume.

Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi.

Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma.

Watu wa Mungu mnafahamu kuwa wapo viongozi wajifanyao ni viongozi wa dini lakini wasioitaka haki itawale. Hao msiwasikilize, hao walikuwepo tangu kale, huitwa wachungaji wa mishahara, hao ni watumwa wa matumbo yao. Wameichagua dhuluma ili matumbo yao yasikose chakula. Wapuuzeni hao.

Narudia, hatutaki kura za watu waovu, wala hatuwabembelezi kuipigia haki. Kwa maana kura yao ni sawa na sadaka ya haramu ambayo kumtolea Mungu ni kosa.

Hata Tundu Lisu asiposhinda kwa kura lakini wewe uliyemcha Mungu usiwe sababu ya kumfanya ashindwe kwa kura kwa kutokumpigia kura.

Tukapige kura, Lisu ni Shahidi mwaminifu, ni ishara kwetu kuwa Bado Mungua anaishi. Tena tusikate tamaa kwa kutishwa na waovu. Waovu wasituzidi ujasiri.

Naomba wale tutakaompigia kura Tundu Lisu siku hiyo ya tarehe 28 tuandae kadi za kura kwa ajili ya kumtkuza Mungu siku hiyo.

Nimalize kwa mfano huu;
Mathayo 4;
8. Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
9. akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
10. Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa:
‘Utamwabudu Bwana Mungu wako
na kumtumikia yeye peke yake.’”
11. Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.

Watu huovu hupenda kuabudiwa kama Baba yao Ibilisi, hukuambia uwe upande wao kama unataka akupe ajira, kama unataka akuongezee mshahara, kama unataka akupe cheo cha juu, kama unataka akuletee maendeleo. Usipomchagua atakuambia sitakupa hayo yote.

Lakini watu wapenda haki hawapendi kuabudiwa, umchague usimchague ni sawa, wanajali UHURU wako, wanajali HAKI za maamuzi ya watu. Ndio maana Mungu hata kama hamuabudu lakini hawezi kukunyima haki zako, uhuru wako, anajua hayo ni maamuzi yako.

Msichague waovu, hupenda kuabudiwa, wewe tangu ulipomchague muovu ndiye shetani ipi faida umepata.

Chagua haki, nawe hautaabudu watu.
Hutaogopa binadamu bali utamwogopa Mungu pekeake. Yaani usiwaseme watu kisa watakufanyia uovu, ndugu zangu, kamwe tusiwafundishe watu kuogopa waovu, tufundishe watu kumuogopa Mungu kwa kupinga waovu.

Chagua Lisu, chagua Lisu, Shahidi mwaminifu.

Ulikuwa nami;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Arusha

Hi Robert,
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Nimeipenda sana hii thread yako na hasa haya maneno:

".....Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi....."
"....Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma".

Ni dhahiri kabisa kwa Mtanzania yeyote mpenda Haki, Amani na Upendo hawezi kuchagua UOVU!! Kuchagua Kati ya ndugu yetu Mhe.Tundu Antipas Mughwai Lissu(CHADEMA) na Rais John Joseph Pombe Magufuli(CCM) Ni kuchagua Kati ya Upande wa Mungu na Shetani!!

Shime Watz wote wanao mpenda Mungu na wapenda Haki, Amani, Upendo kuchagua upande wa Mungu(Tundu Lissu).
Kama Mungu alimwokoa Tundu Lissu na umauti baada ya kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na 16 zikiingia mwilini ndiye Mungu atakayemtetea na kumshindia hata kwa hili la Urais wa JMT.
All the best sons and daughters of God. Till we meet on 28th October,2020. Just stay blessed🙏...✌️!
 
Back
Top Bottom