Uchaguzi 2020 Watu wa Mungu, Tutamchagua Tundu Lissu

Watu wa Mungu yupi, aliteketeza Sodoma na Gomora au Mungu wa Kuzimu? Acheni kutumia hilo jina vibaya kwa kukubali ajenda za ndoa ya jinsia moja eti ndo hitaji la watu wa Mungu
Mashoga wako salama Tanzania- Kangi Lugola.
 
Ainisha uovu wa Tundu lisu utushawishi.
 
Lets enjoy our last 6 days Bro.
Baada ya 28/Dec tukutane kwenye wimbo wetu "TUMEIBIWAAAAAA!"
Hii ngoma hata Mange Kimambi kishaijua. Ndo maana siku hizi anawapost akina Mobeto na Zari tu!
WATCH IT!
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
Safari hii ndio mtajua Kama hamjui
 
Hatuwezi kuchagua mtu ambaye anaongeza idadi ya mashetani Tanzania, Tangia aingie madarakani 2015, kazi kubwa imefanyika kushusha watu wote waliokuwa wakiishi kitakatifu na kuwageuza kuishi na binadamu wenzao kama mashetani!
 

Hi Robert,
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Nimeipenda sana hii thread yako na hasa haya maneno:

".....Kumchague Lisu ni kumchagua yule aliyemponya kifo cha kupigwa risasi, kutokumchagua ni kuchagua waliompiga risasi....."
"....Hatuwezi kuwa upande wa uovu, hatuwezi kuwa upande wa dhuluma".

Ni dhahiri kabisa kwa Mtanzania yeyote mpenda Haki, Amani na Upendo hawezi kuchagua UOVU!! Kuchagua Kati ya ndugu yetu Mhe.Tundu Antipas Mughwai Lissu(CHADEMA) na Rais John Joseph Pombe Magufuli(CCM) Ni kuchagua Kati ya Upande wa Mungu na Shetani!!

Shime Watz wote wanao mpenda Mungu na wapenda Haki, Amani, Upendo kuchagua upande wa Mungu(Tundu Lissu).
Kama Mungu alimwokoa Tundu Lissu na umauti baada ya kumiminiwa risasi zaidi ya 38 na 16 zikiingia mwilini ndiye Mungu atakayemtetea na kumshindia hata kwa hili la Urais wa JMT.
All the best sons and daughters of God. Till we meet on 28th October,2020. Just stay blessed🙏...✌️!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…