Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Jamaa alifia magereza akiwa mahabusu
Yeah..huyo jamaa alikuwa noma nakumbuka kipindi anasakwa aliwahi kwenda mahakamani kuskiliza kesi ya mwenzie God akiwa amevaa nguo za kike naskia aliuwawa mahabusu kwa kupigwa sindano
 
Dioceses ilikua sehemu nzuri sana kulikua na team za mpira,music,kulikua na league mshindi anapewa box la sabuni na crate la soda enzi hizo wachezaji wazuri ilikua Rujama kutoka nyasho,shilla kamnyonge,cosmas,phinias...aisee
Cosmas alikuwa fundi wa mpira kama sikosei alikuwa anaishi iringo baba yake alikuwa fundi mzuri wa kushona viatu
 
Juma kigera daah..namkumbuka kasumbua sana maeneo ya metropol
 
Musoma mji mzuri kuishi km unauwakika na kipato chako ila km unaishi kwa ujanja janja Musoma utapachukia na kupaona apafai
Musoma watu hawaishi kwa madeal Musoma watu wanaishi kwa kufanya kaz

Ila kuna kitu huwa kinanishangaza kuhusu musoma Vijana weng wa Musoma wamekimbilia dar kuliko vijana walobakia Musoma
 
Huo mji una mateso sana mkuu wacha tubaki huku dasilamu
 
Halafu ni watoto wadogo sana wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…