Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Kulikuwa na mtu anaitwa mgasa aisee hiyo ilikuwa chata nyingine
Mgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.

Mbio za vijiti unakutana na akina Jigga, Jira, Chui, Mapacha (jamaica pia walikua na mapacha).

Huku West Lawama unakutana na wakongwe akina Majani.

Yale maisha yamefanya tukawa tough sana. Kusurvive katikati ya gangs kama zile inahitaji roho ngumu. Bahati nzuri nilikua muhuni mpenda shule, hiyo ndio ponapona yangu. Othrerwise ningekua either jela au kaburini.
 
Hawa majamaa walitupora sana simu zetu enzi zile twasoma tuition [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nyie watoto wa kishua mliokua mnasoma tution Mwembeni kila likizo? Hahaa.

Bora nyie mliporwa simu, wenzio wamepigwa sana mtungo!
 
Back to 1980's Tycoon Musoma walikuwa Panju na Ibrahim Kassam (Waasia) akimiliki kiwanda cha soda za VIMTO hapo Musoma maeneo ya Shule Pendwa Musoma Tech. Sina hakika kama kiwanda cha Vimto bado kipo huko Musoma, ingawa kwa sasa AZAM kachukua hilo jina na kuzipachika Juice zake VIMTO.
 
Mgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.

Mbio za vijiti unakutana na akina Jigga, Jira, Chui, Mapacha (jamaica pia walikua na mapacha).

Huku West Lawama unakutana na wakongwe akina Majani.

Yale maisha yamefanya tukawa tough sana. Kusurvive katikati ya gangs kama zile inahitaji roho ngumu. Bahati nzuri nilikua muhuni mpenda shule, hiyo ndio ponapona yangu. Othrerwise ningekua either jela au kaburini.
Kuna jamaa alikuwa anasoma Buhare walikuwa wanamuita Magoti ulikuwa ukikutana naye lazima ukimbie lasivyo atakupora nakukupiga alikuwa wa Jamaica mockers
 
Back to 1980's Tycoon Musoma walikuwa Panju na Ibrahim Kassam (Waasia) akimiliki kiwanda cha soda za VIMTO hapo Musoma maeneo ya Shule Pendwa Musoma Tech. Sina hakika kama kiwanda cha Vimto bado kipo huko Musoma, ingawa kwa sasa AZAM kachukua hilo jina na kuzipachika Juice zake VIMTO.
Vimto nimezinywa mkuu zamani sana nikiwa mdogo crate zake za mbao na hicho kiwanda kipo opposite na Mutex now ni godown, huyo Panju naye stori zake nimezisikia japo sijawahi muona
 
Kuna jamaa alikuwa anasoma Buhare walikuwa wanamuita Magoti ulikuwa ukikutana naye lazima ukimbie lasivyo atakupora nakukupiga alikuwa wa Jamaica mockers
Naam, mara ya mwisho kumuona ilikua kama miaka kumi iliyopita. Shule ndio ilinitoa Musoma.
 
Back
Top Bottom