Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Yarudi hayo makundi maana kumepoa sana
 
Huwa nikikaa na watu wa Arusha alafu wakaanza kuongelea ubabe wa huko kwao, huwa naishia kucheka tu. Musoma ilikua ni vita kamili.

Anyway, ulikua unateseka ukiwa maeneo gani hahaa?
Kamnyonge huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] walitusumbua sana tuition hao jamaa
 
Huwa nikikaa na watu wa Arusha alafu wakaanza kuongelea ubabe wa huko kwao, huwa naishia kucheka tu. Musoma ilikua ni vita kamili.

Anyway, ulikua unateseka ukiwa maeneo gani hahaa?
Rwamlimi mkuu yaani ukikatisha Nyakato unakutana nahao Mdomo wa Furu
 
Nyakato Mtaa wa vibaka na walevi wa ngogo wachawi miaka hio tunaenda baruti kufata mapanki[emoji16] Disco Toto Mama Ester in, peninsula beach watoto wa kishua wanatokea kamnyonge biafla na kambi za FFU December tunaenda mwembeni kutafuta pisi Kali Enz hizo baskeli za maganga ndo dili Mjini Mistu wa Babu Kenge,
 
Hawa majamaa walitupora sana simu zetu enzi zile twasoma tuition [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah pale azimio ulikua hupiti wakat wa kutoka tution mwembeni na jpli kanisani wametuteka sana sadaka
 
Mgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.

Mbio za vijiti unakutana na akina Jigga, Jira, Chui, Mapacha (jamaica pia walikua na mapacha).

Huku West Lawama unakutana na wakongwe akina Majani.

Yale maisha yamefanya tukawa tough sana. Kusurvive katikati ya gangs kama zile inahitaji roho ngumu. Bahati nzuri nilikua muhuni mpenda shule, hiyo ndio ponapona yangu. Othrerwise ningekua either jela au kaburini.

Mbio za VGT umenisahau na mm na wengine watoto wa magamaga
 
Kwa jinsi hali ilivyo kuwa kipindi kile angetokea mtu mwenye mawazo ya kuanzisha vikundi vya wapiganaji kama ilivyo DR CONGO Basi Musoma ingekua ni sehemu mbaya kabisa ktk taifa hili

Sure kabisa Nakumbuka mzee aliniambisha mwaka 2012 akanambia mwanangu sitaki uhalibike nikahama nimerudi musoma 2018 Dah wale wababe wote wamechoka Musoma imetulia na imependeza
 
Back
Top Bottom