Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Wengi mmekimbia musoma wengine wameuwawa kama huyo mgasa na maromaroMgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.
Mbio za vijiti unakutana na akina Jigga, Jira, Chui, Mapacha (jamaica pia walikua na mapacha).
Huku West Lawama unakutana na wakongwe akina Majani.
Yale maisha yamefanya tukawa tough sana. Kusurvive katikati ya gangs kama zile inahitaji roho ngumu. Bahati nzuri nilikua muhuni mpenda shule, hiyo ndio ponapona yangu. Othrerwise ningekua either jela au kaburini.