Alex korosso
Senior Member
- Jun 10, 2017
- 126
- 217
Maromaro alikufa kwa kupigwa visu
Huyo dogo nilimuacha shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maromaro alikufa kwa kupigwa visu
Azimio tuu pale mwembeni primary pale[emoji30] walitunyoosha sana enzi zile
Nilisoma hapo computer nilipokua nasubiri matokeo ya form fourSehemu bora kabisa musoma kuwahi kutokea ilikuwa diocese ya musoma( kituo cha matumaini ya vijana).
Kilikuwa kituo bora cha michezo na masomo, vyote vilitolewa bure kabisa kilikuwa kisima cha maarifa, kituo hiki cha kanisa romani cathoric baada tu ya kufungwa ndipo yalipoanza kuibuka makundi ya uharifu na wahuni
Pale ilikuwepo michezo ya aina zote unayoifahamu wewe, maktaba na madarasa ya kufundishia fani mbalimbali ikiwemo uchoraji n.k
Vijana na watu wote walikuwa wanakutana pale kushiriki michezo na masomo hivyo hapakuwa na makundi ya kihuni, zilikuwepo timu za mipira na michezo mingine pamoja na wasomi.
Sijaona kikiongelewa humu mkumbuke na mazuri, msikumbushane matukio ya wahuni
Polee asee, Me nashukuru Mungu ni mara moja tuu nilikumbana nao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dah ilkua noma nakumbuka nilikua natoka zoezi pale karume stadium Enz za polisi mara pona pona yangu ni wale maafande wa farans weupe gar yao iliandikwa Never give up
Polee asee, Me nashukuru Mungu ni mara moja tuu nilikumbana nao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah nimechezea sana mabapa ya sime
Waliyotumia vizuri fursa ile wapo mbali sasahiviNilisoma hapo computer nilipokua nasubiri matokeo ya form four
Musoma tunaita Magido, Mapanki watu wa Mwanza ndiyo wanaita hivyo kipindi hicho pale walipojenga shule ya Baruti secondary ndipo kilikuwa kiwanda cha kukaangiaNyakato Mtaa wa vibaka na walevi wa ngogo wachawi miaka hio tunaenda baruti kufata mapanki[emoji16] Disco Toto Mama Ester in, peninsula beach watoto wa kishua wanatokea kamnyonge biafla na kambi za FFU December tunaenda mwembeni kutafuta pisi Kali Enz hizo baskeli za maganga ndo dili Mjini Mistu wa Babu Kenge,
Alikufaje mkuu?Na yeye akaja kufa kizembe sana
Alikufaje mkuu?
Musoma tunaita Magido, Mapanki watu wa Mwanza ndiyo wanaita hivyo kipindi hicho pale walipojenga shule ya Baruti secondary ndipo kilikuwa kiwanda cha kukaangia
Kweli kabisa hapo palikuwa nisehemu ya kuwapa matumaini vijana, nilikuwa nahudhuria sana paleSehemu bora kabisa musoma kuwahi kutokea ilikuwa diocese ya musoma( kituo cha matumaini ya vijana).
Kilikuwa kituo bora cha michezo na masomo, vyote vilitolewa bure kabisa kilikuwa kisima cha maarifa, kituo hiki cha kanisa romani cathoric baada tu ya kufungwa ndipo yalipoanza kuibuka makundi ya uharifu na wahuni
Pale ilikuwepo michezo ya aina zote unayoifahamu wewe, maktaba na madarasa ya kufundishia fani mbalimbali ikiwemo uchoraji n.k
Vijana na watu wote walikuwa wanakutana pale kushiriki michezo na masomo hivyo hapakuwa na makundi ya kihuni, zilikuwepo timu za mipira na michezo mingine pamoja na wasomi.
Sijaona kikiongelewa humu mkumbuke na mazuri, msikumbushane matukio ya wahuni tu.
Kweli kabisa hapo palikuwa nisehemu ya kuwapa matumaini vijana, nilikuwa nahudhuria sana pale
Umemsahau yule mzee tajiri wa pale kamnyonge, karibu na shule ya msingi.Back to 1980's Tycoon Musoma walikuwa Panju na Ibrahim Kassam (Waasia) akimiliki kiwanda cha soda za VIMTO hapo Musoma maeneo ya Shule Pendwa Musoma Tech. Sina hakika kama kiwanda cha Vimto bado kipo huko Musoma, ingawa kwa sasa AZAM kachukua hilo jina na kuzipachika Juice zake VIMTO.
Alikuwa anaitwa Mutalagala kama sijakosea alifariki 2007 nyumbani kwake nasikia walikuwa wakiweka vibao kama kapumzika, au hayupo, n.kUmemsahau yule mzee tajiri wa pale kamnyonge, karibu na shule ya msingi.
Nyumba yake ilikua inafensi iliyonakshiwa na machuma chuma.Alikuwa anaitwa Mutalagala kama sijakosea alifariki 2007 nyumbani kwake nasikia walikuwa wakiweka vibao kama kapumzika, au hayupo, n.k