Maeneo kama Zanzibar au Kulumuli, na bweri unaweza kupata sidhani kama musoma mjini unaweza kupata, bei ni simpe tu unaweza pata mpaka laki nane au Million 1Huko viwanja vinauzwaje kwa sasa, tuje tuwekeze
Nenda mitaa inaitwa Songambele nasikia ukiwa na milioni moja unajipatia kiwanja.Huko viwanja vinauzwaje kwa sasa, tuje tuwekeze
Songambele iko upande wa barabara gani, hii inayoelekea majita roadNenda mitaa inaitwa Songambele nasikia ukiwa na milioni moja unajipatia kiwanja
Sawa, asanteMaeneo kama Zanzibar au Kulumuli, na bweri unaweza kupata sidhani kama musoma mjini unaweza kupata, bei ni simpe tu unaweza pata mpaka laki nane au Million 1
Hapana iko mbele ya RwamlimiSongambele iko upande wa barabara gani, hii inayoelekea majita road
Rwamlimi si mporini sanaHapana iko mbele ya Rwamlimi
Rwamlimi siyo maporini kuna umeme na maji ya MUWASA na ndiyo nyumbani kwetu, Songambele ndiyo bado haijachangamka na kaa ukijua kuwa mambo yanabadilika ata Sinza ilikuwa pori.Rwamlimi si mporini sana
Asante sanaRwamlimi siyo maporini kuna umeme na maji ya MUWASA na ndiyo nyumbani kwetu, Songambele ndiyo bado haijachangamka na kaa ukijua kuwa mambo yanabadilika ata Sinza ilikuwa pori
Mgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.Kulikuwa na mtu anaitwa mgasa aisee hiyo ilikuwa chata nyingine
Ndio nyie watoto wa kishua mliokua mnasoma tution Mwembeni kila likizo? Hahaa.Hawa majamaa walitupora sana simu zetu enzi zile twasoma tuition [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa alikuwa anasoma Buhare walikuwa wanamuita Magoti ulikuwa ukikutana naye lazima ukimbie lasivyo atakupora nakukupiga alikuwa wa Jamaica mockersMgasa, Kinche, Bonny Weed, Ally Bega, Duchu, Maromaro (R.I.P). List ni ndefu sana kwa wanangu wa Jamaica Mockers.
Mbio za vijiti unakutana na akina Jigga, Jira, Chui, Mapacha (jamaica pia walikua na mapacha).
Huku West Lawama unakutana na wakongwe akina Majani.
Yale maisha yamefanya tukawa tough sana. Kusurvive katikati ya gangs kama zile inahitaji roho ngumu. Bahati nzuri nilikua muhuni mpenda shule, hiyo ndio ponapona yangu. Othrerwise ningekua either jela au kaburini.
Tena kumependeza sanaa. Nishakulaa bia sana hapo na kulala kwenye vigesti flani uchwaraa hapoKuna kijiji kinaitwa Kinesi hapo unavuka na pantoni
Nilikua huko last year, Rwamlimivis one of the best well built streets kwa sasa pale musoma. Bado hawajapata lami tu. Pamejengeka sana, pamejaa sana. Pia uwanja wa mpira unajengwa kule, karume panavunjwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege!Rwamlimi si mporini sana
Vimto nimezinywa mkuu zamani sana nikiwa mdogo crate zake za mbao na hicho kiwanda kipo opposite na Mutex now ni godown, huyo Panju naye stori zake nimezisikia japo sijawahi muonaBack to 1980's Tycoon Musoma walikuwa Panju na Ibrahim Kassam (Waasia) akimiliki kiwanda cha soda za VIMTO hapo Musoma maeneo ya Shule Pendwa Musoma Tech. Sina hakika kama kiwanda cha Vimto bado kipo huko Musoma, ingawa kwa sasa AZAM kachukua hilo jina na kuzipachika Juice zake VIMTO.
Naam, mara ya mwisho kumuona ilikua kama miaka kumi iliyopita. Shule ndio ilinitoa Musoma.Kuna jamaa alikuwa anasoma Buhare walikuwa wanamuita Magoti ulikuwa ukikutana naye lazima ukimbie lasivyo atakupora nakukupiga alikuwa wa Jamaica mockers
Kuna jamaa pale Baruti alikuwa amejenga nyumba muundo wa meli, sijui aliwaza nn
Kuna kijiji kinaitwa Kinesi hapo unavuka na pantoni
Daah very sadMarehemu Barongo alijenga nyumba na kuzungushia ukuta ukiwa na mfanano wa meli ya MV. BUkoba kama kumbukumbu ya kumpoteza mke wake katika ajali hiyo mwaka 1996....
Next Time nikienda Musoma lazima niende kinesi napasikia tuNikienda likizo navuka ng'ambo naelekea kijijini kwetu kwenda kula kichuri na ugali...