Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unaisikia hata ukiwa mbali!!!. na Njombe ndiyo zao kumbe!!!?Zimeshout kama za watu wa Njombe
Wee!Yaani unaisikia hata ukiwa mbali!!!. na Njombe ndiyo zao kumbe!!!?
Huo ni uongo banaWanapaka kulingana na rangi zilizokuepo
Hawako peke yao. Mji wa St John's Newfoundland and Labrador Kanada unasifika kwa sababu kama hii ya kupaka majumba rangi kiasi cha kuwa kivutio.Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli, Hata kwenye Favelas huko S America kunakuwaga na hizi crazy colors. Na huvutia. Lakini hapa zinaonekana out of place kabisa. Unakutana na nyumba zina rangi tulivu, mara ghafla hii hapa ya pinki na njano. Inakuwa kama ajali hivi.Hawako peke yao. Mji wa St John's Newfoundland and Labrador Kanada unasifika kwa sababu kama hii ya kupaka majumba rangi kiasi cha kuwa kivutio.
![]()
Wako color blindHuwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanashtua watu, wengine wana pressure. Pia zinaweza trigger kifafa🙂Ni utaratibu wao,waache tu mkuu
😂aiseeWanashtua watu, wengine wana pressure. Pia zinaweza trigger kifafa🙂