BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa
5. Pemba maisha ni ghali sana
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue, yaani huku hawana habari za kutumiana wahuni, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi, yaani majitu fulani mahuni, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA