Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen

♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Pemba patamu yahe. Usisahau kufika pale Gombani na Macho manne.
UKifika Macho manne utapata kila utakacho, Wete halikadharika...ingawa macho wengi yatakunyima Uhuru.
Ukichukua ngoma Wete au Macho manne inabidi ukaipigia kusini, yaani mkoa mwingine.

Wabara na Wahuni kuitwa Wanyamwezi ni sababu ya watu wawili, wa Kwanza James Maparara aliyekua mwanzilishi na Mwenyekiti wa CUF, wa pili ni Ibra Lipumba...hawa Wanyamwezi wawili kwao ndiyo brand ya Wabara
 
Duh kazi sana
 
Niko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.

Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.

Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.

Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
 
Back
Top Bottom