pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Boti ipi mkuu Lile wimbi la nungwi Kuna boti itapenya zinaenda meli na mashua za wavuvi.Natamani kufika Pemba ila kupanda boti ndo sitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boti ipi mkuu Lile wimbi la nungwi Kuna boti itapenya zinaenda meli na mashua za wavuvi.Natamani kufika Pemba ila kupanda boti ndo sitaki
Ngono haichagui kabila wala dhehebuUnamaanisha wanawake wa kipemba wanaweza kuliwa kabla ya ndoa?
panda ndege, zinakwenda mara mbili kwa sikuNatamani kufika Pemba ila kupanda boti ndo sitaki
Yupo vizuri sanaBonge wa jikoni mtoto wa kitanga
Stori za vijiweni hizi uongo tuHalafu nasikia Pemba majumbani hakuna vyoo, haja zote mnamalizia ufukweni au porini, ni kweli??!!
watu wa pwani kunya baharini ilikuwa ni kawaida...... humu visiwani mpaka Comoro, ni hivi miaka ya karibuni ndiyo wameacha kwa vile fukwe nyingi kwa sasa ziko karibu na majumba siyo kama zamaniMkuu inamaana walikuwa na utamaduni wa kunya baharini?
Ili tatizo lipo lakini ni watu wastaarabu uki omba upishwe kuketi kitako Wana achia seat.Niko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.
Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.
Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.
Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
Wanalika vizuri sana na akikupenda basi hata msichana mwenzake wa karibu awe mdogo wake au rafiki yake atatamani na yeye umle ili wakiwa wenyewe wawe wanapiga story zako kwa kuwa wote wanakufahamu na wakati mwengine watapeana majukumu wakufanyia kutu gani.Unamaanisha wanawake wa kipemba wanaweza kuliwa kabla ya ndoa?
Ahsante je ujabahatika kukutana na Askari wa ZanzibarEbhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Stori za vijiweni hizi uongo tu
Ustaarabu wa vyoo unakuwa kasi sana.
Hata wakojani wanajenga vyoo siku hizi
Sa mbona mtoa mada anasema labda uwale baamedi?Ngono haichagui kabila wala dhehebu
Mkuu Si kwamba hawajengi vyoo,Ona Mpemba mwenyewe alivyojibu:-
Hivyo vitu ambavyo umeviorodhesha karibu vingi kama siyo vyote vinapatikana Zanzibar nzima. Nafikiri wengi wao kwa asilimia kubwa hufuata misingi ya dini yao ya kiislamu.Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Na ongea hv Niko na fact pia mtambwe kojani yote nimefika watu Wana vyoo labda hizo takwimu za zamani huko sio sasaOna Mpemba mwenyewe alivyojibu:-[emoji1313]
Mkuu Si kwamba hawajengi vyoo,
Kuna ule utamaduni wa baadhi yao kwenda haja popote.
Mfano baharini au msituni.
Unaweza kutembea msituni ukakutana na kinyesi cha binadamu
Mbona povu? Pole kama jiwe la gizani limekupata usonji.Hivi mtu unakuja kuongea Ujinga kama huo, tena kwa asilimia 100% halafu huko pemba kwenyewe hujawahi kufika?labda tukuulize Una Mama,Dada,Shangazi na wengine nyumbani kwako?hujui unavyowatukana wanawake unawajumlisha na ndugu zako wa kike?
Kwanza Mimi ni Mwanaume,na sijawahi kufika Pemba,lakini huwa sipendi watu wenye hulka ya kutukana jumuhiya ya watu pasipo hata sababu,ambao hawana uwezo wa kuja kujitetea humu ndani,hiyo ni tabia mbaya,Mbona povu? Pole kama jiwe la gizani limekupata usonji.