Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
No# 10 kiboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mkuu umepanda Sealink one au two,kama nakuona hapo nungwi unavyotoa macho,mess hapo kuna dada moja kibonge hivi alinipa hifadhiNiko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.
Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.
Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.
Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
Mkuu inamaana walikuwa na utamaduni wa kunya baharini?Ustaarabu wa vyoo unakuwa kasi sana.
Hata wakojani wanajenga vyoo siku hizi
Hiyo namba 10 ni hatariEbhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida[emoji2]
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Safi sana hii😅😅Mkuu inamaana walikuwa na utamaduni wa kunya baharini?
Ila pemba kwa vijini ni balaa yani wanatisha. Nilikaa kipindi fulani na mama wa kipemba alirudi kujifungua kwao aliporudi dar akakuta mume wake kaoa mke wa pili.
Alichofanya ni kurudi tena home akasema anakwenda kutengeneza mambo mumewe atamuacha huyo mke wa pili. Asee wiki 2 nyingi yule jamaa waligombana na mke wa pili akamfuata mkewe Pemba
Beach za huku ninzuri sana safi hazijawa polluted alafu wenyeji wakarimu hotels chache sana, Kuna beach Ina chumba Cha kulala ndani ya maji.Kipi kingine cha kuvutia zaidi
Hivi mtu unakuja kuongea Ujinga kama huo, tena kwa asilimia 100% halafu huko pemba kwenyewe hujawahi kufika?labda tukuulize Una Mama,Dada,Shangazi na wengine nyumbani kwako?hujui unavyowatukana wanawake unawajumlisha na ndugu zako wa kike?Pemba 100% ya wadada ambao hawajaolewa ni bikra (upande wa mbele), lkn kwa nyuma hawana malinda.
Nimepanda 2 mkuu. Nungwi pametulia Leo. Bonge yupo huyo, wa jikoni au muhudumu[emoji1787][emoji1787]Mkuu umepanda Sealink one au two,kama nakuona hapo nungwi unavyotoa macho,mess hapo kuna dada moja kibonge hivi alinipa hifadhi
Wakojani ambao ni wavuvi maarufu kutoka huko kisiwani wamehama Pemba na kuhamia baraInakuaje samaki Wana bei kubwa kuliko bara Mkuu
Hahaa mkuu kuanzia hapo nilianza kuogopa wapembaSafi sana hii😅😅
Yes, Kojani ni kisiwa.Mkuu inamaana walikuwa na utamaduni wa kunya baharini?
Bonge wa jikoni mtoto wa kitangaNimepanda 2 mkuu. Nungwi pametulia Leo. Bonge yupo huyo, wa jikoni au muhudumu
haemmoloid ndiyo nini? Unaonyesha kabisa kama unazusha tuDuh shida wanawake wanalawitiwa sana nimepata kazi za kutibu haemmoloid mpaka nimechoka
Kapigania haki yake ni sawa kabisa😅😅Hahaa mkuu kuanzia hapo nilianza kuogopa wapemba
Tena aliondoka kwa kujiamini akimwambia we 'bwaa beka' utanifuata mwenyewe.
Unamaanisha wanawake wa kipemba wanaweza kuliwa kabla ya ndoa?Pemba patamu yahe. Usisahau kufika pale Gombani na Macho manne.
UKifika Macho manne utapata kila utakacho, Wete halikadharika...ingawa macho wengi yatakunyima Uhuru.
Ukichukua ngoma Wete au Macho manne inabidi ukaipigia kusini, yaani mkoa mwingine.
Wabara na Wahuni kuitwa Wanyamwezi ni sababu ya watu wawili, wa Kwanza James Maparara aliyekua mwanzilishi na Mwenyekiti wa CUF, wa pili ni Ibra Lipumba...hawa Wanyamwezi wawili kwao ndiyo brand ya Wabara
Kwani TV za chogo bado zinatumika.Hizo flat screem mimi ndiyo nazisaka.