Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Ni rais according to wewe!

Which is okay maana unatumia your first amendment right!

Kama wengine!

Kwa mfano mimi pia naweza sema Kingwendu anakua rais 2025!

We’all havin wishful thinking!
Nilisema humu 2013 kwamba 2015 Rais ni Mh John Joseph Pombe Magufuli na nasema tna leo 2019 kuwa 2025 Rais ni Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Mojaaaaaaa
 
Hatar
 
Acha ujinga Katiba iko wazi kuhusu Uhuru wa kuishi popote. Watu wengi wanajisahau wengine tumekuwa tunaishi na falsafa za Mwalimu Nyerere hadithi zako ni kama zike abunuasi. Watanzania sisi wamoja na kitu kimoja
 
Mi sio mkabila
Ila sisi wasukuma ni washamba sana
Mpaka huwa naona aibu kuwa msukuma
Angalia wanavyoongea asilimia kubwa,angalia mavazi ni aibu tupu

Kila kabila lina strength na weaknesses zake. Wasukuma pamoja na madhaifu yao bado ni watu poa sana, hawana ubaguzi na ndio maana miji yenu mingi kila mtu anaweza kukaa
 
Mi sio mkabila
Ila sisi wasukuma ni washamba sana
Mpaka huwa naona aibu kuwa msukuma
Angalia wanavyoongea asilimia kubwa,angalia mavazi ni aibu tupu


Mimi sijawahi kujuta hata siku moja kuwa msukuma kwanza nikikaa nao nachekaga mwanzo nwisho ...ingawa wengi wananiambia mm ni mchaga nakubali tu!
 
Sasa mlitaka tuhangaike na watu kutwa kuchwa mko mnacheza ngoma na bao. Mlitaka tuwajengee nyumba. Mie sijawahi sikia duka ambalo siyo la mangi. Hivu ndugu huwa mnakwama wapi
 
[emoji4]bora wewe
Mimi yale mambo ya kutembea na radio wanapiga mziki kwa sauti kubwa na kuvaa hovyo hua nakua bored

Inategemea..mm maisha yangu napend sana furaha nakaa nao mno mno..ss hujakaa nao bar..wanajaza meza nzima bia ... hakuna nafas ht ya kuweka simu..bia zote za moto .zote zinafunguliwa🤣🤣!
ila sio wabahili...msukuma ht umkute bar ww kula kunywa!..
 
[emoji23]
Umenikumbusha juzi nilikua bar moja hivi,walikuwepo wasukuma wana meza yao wamelewa sana wanaongea kisukuma tu
Wanamwambia kila mtu anywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…