Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

Ni rais according to wewe!

Which is okay maana unatumia your first amendment right!

Kama wengine!

Kwa mfano mimi pia naweza sema Kingwendu anakua rais 2025!

We’all havin wishful thinking!
Nilisema humu 2013 kwamba 2015 Rais ni Mh John Joseph Pombe Magufuli na nasema tna leo 2019 kuwa 2025 Rais ni Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Mojaaaaaaa
 
Wananambia wanaoa wake wengi ili wawasaidie kulima..nikahoji..ukilima eka 2/ na wake zako hao wawili je unapata mavuno kias gan??anakuambia gunia 5[emoji1787][emoji1787] mitoto 22...unaishia kumuuliza ww ni timamu?
Anakuambia nazaa watoto wengi waje wawe wachunga ng'ombe .hiz sio stry sio za miaka ya nyuma..ndo wanaishi hvyo wajomba zangu!
Hatar
 
Waziri Jafo Ni waziri aliyoitenendea haki wizara ya Serikali ya mitaa kuliko waziri yeyote toka Tanzania ipate Uhuru.

Kama ilivyo watu wa Pwani hatuna ubinafsi tunakaribisha wawekezaji wazawa toka Tanzania nzima,Wawe wachaga,wapemba au makabila yote nchi nzima wote wamejaa Dar es salaam na Pwani .Bomu likipigwa Dar es salaam na Pwani Tanzania nzima itakuwa misiba sababu makabila yote ya Tanzania yako Dar es salaam na Pwani kwa ukarimu wa watu wazawa wa Dar es salaam na Pwani anakotokea Jafo.

Jafo umepeleka Maendeleo mikoa yote halmashauri zote na Manispaa na majiji yote Tanzania nzima bila kujali watu wa Pwani wako hiyo mikoa au la.

Kuna mikabila inajijali yenyewe ingepewa hiyo wizara isinyesambaza Maendeleo mikoa mingine ingejaza Maendeleo mikoa yao tu.

Kuna Mikoa ilipewa uwaziri tu wa fedha ,benki kuu na TRA nk kila kitu walipeleka kwao
Acha ujinga Katiba iko wazi kuhusu Uhuru wa kuishi popote. Watu wengi wanajisahau wengine tumekuwa tunaishi na falsafa za Mwalimu Nyerere hadithi zako ni kama zike abunuasi. Watanzania sisi wamoja na kitu kimoja
 
Mi sio mkabila
Ila sisi wasukuma ni washamba sana
Mpaka huwa naona aibu kuwa msukuma
Angalia wanavyoongea asilimia kubwa,angalia mavazi ni aibu tupu

Kila kabila lina strength na weaknesses zake. Wasukuma pamoja na madhaifu yao bado ni watu poa sana, hawana ubaguzi na ndio maana miji yenu mingi kila mtu anaweza kukaa
 
Mi sio mkabila
Ila sisi wasukuma ni washamba sana
Mpaka huwa naona aibu kuwa msukuma
Angalia wanavyoongea asilimia kubwa,angalia mavazi ni aibu tupu


Mimi sijawahi kujuta hata siku moja kuwa msukuma kwanza nikikaa nao nachekaga mwanzo nwisho ...ingawa wengi wananiambia mm ni mchaga nakubali tu!
 
Sio Nyerere watu wa kaskazini aliwapa post kibao akijua mumesoma Sana kuliko makabila mengine akadhani mna utaifa mtasaidia nchi kumbe ukabila haujawaisha na elimu zenu.

Wachaga serious mlimwangusha Nyerere Sana.Aliwaamini kwa usomi wenu kuwa mna spirit ya kitaifa akawaweka kila Kona kumbe hamna kitu hamna National Spirit mnawaza machame na kishumundu tu hata msomeshwe ulaya na mpewe post kubwa
Sasa mlitaka tuhangaike na watu kutwa kuchwa mko mnacheza ngoma na bao. Mlitaka tuwajengee nyumba. Mie sijawahi sikia duka ambalo siyo la mangi. Hivu ndugu huwa mnakwama wapi
 
[emoji4]bora wewe
Mimi yale mambo ya kutembea na radio wanapiga mziki kwa sauti kubwa na kuvaa hovyo hua nakua bored

Inategemea..mm maisha yangu napend sana furaha nakaa nao mno mno..ss hujakaa nao bar..wanajaza meza nzima bia ... hakuna nafas ht ya kuweka simu..bia zote za moto .zote zinafunguliwa🤣🤣!
ila sio wabahili...msukuma ht umkute bar ww kula kunywa!..
 
Inategemea..mm maisha yangu napend sana furaha nakaa nao mno mno..ss hujakaa nao bar..wanajaza meza nzima bia ... hakuna nafas ht ya kuweka simu..bia zote za moto .zote zinafunguliwa[emoji1787][emoji1787]!
ila sio wabahili...msukuma ht umkute bar ww kula kunywa!..
[emoji23]
Umenikumbusha juzi nilikua bar moja hivi,walikuwepo wasukuma wana meza yao wamelewa sana wanaongea kisukuma tu
Wanamwambia kila mtu anywe
 
Back
Top Bottom