Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Huyo ni mjukuu hawezi kukaa kujadili mirathi ya babu na bibi yake hahusiki.Kwa mama yake kazaliwa peke yake tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mjukuu hawezi kukaa kujadili mirathi ya babu na bibi yake hahusiki.Kwa mama yake kazaliwa peke yake tu.
Mungu awabariki kwa busara zenu, tumieni watu wazima kutoka kwenye ukoo ili afungue account ambayo ni fixed awekewe hela yake hukoTunatumia busara tu lakini dada yetu hakumuorodhesha popote kuhusu urithi wake.
Changamoto ni kwamba mimi ni mdogo wangu tumezaliwa kila mtu na mama ake. Sasa ndugu wote wamelalia upande wa huyu dogo ndo wanampa jeuri na yeye ndo anaishi nao huko mwanza. Na hao ndugu kwa upande wangu na mdogo wangu haziivi. Hao ndugu nao wanapataka, nilifanya juu chini nikachukua document zote za kiwanja wakakosa nguvu. Sasa kilichobaki wao nikumpa kiburi huyu dogoMungu awabariki kwa busara zenu, tumieni watu wazima kutoka kwenye ukoo ili afungue account ambayo ni fixed awekewe hela yake huko
Kwa mtizamo huu ni kama vile agenda ya kuuza ni ya kwako wewe tu.Changamoto ni kwamba mimi ni mdogo wangu tumezaliwa kila mtu na mama ake. Sasa ndugu wote wamelalia upande wa huyu dogo ndo wanampa jeuri na yeye ndo anaishi nao huko mwanza. Na hao ndugu kwa upande wangu na mdogo wangu haziivi. Hao ndugu nao wanapataka, nilifanya juu chini nikachukua document zote za kiwanja wakakosa nguvu. Sasa kilichobaki wao nikumpa kiburi huyu dogo
🤣🤣🤣🤣🤣Nani alikwambia ukiwa na kiwanja unamiliki mpaka madini yaliyoko chini ya ardhi? Ukimiliki kiwanja unaishia kuwa mpangaji kwenye ardhi ambayo iko chini ya serikali kwa maana ya Rais. Kwa maana nyingine wewe kwenye ardhi unamiliki ardhi na maotea yaliyoko juu ya ardhi. Chochote kilichopo chini ya ardhi ni mali ya serikali kama huamini chimba kifusi kutoka kwenye kiwanja chako pita nacho barabarani kama haujadaiwa kibali cha machimbo
Mawazo yako ni mazuri lakini the way unavyoya deliver sio mazuri kwa lugha ya kiutuuzimaNyie ni watu wazima ila basi ni wapuuzi 💩 yaani mtoto/mjukuu anawazuia kuuza mali yenu? Tena hata hiyo m10 msimpe mapumbavu huyo... Sasa nyie chekeni naye awatilie sumu mfe, nyuma yake mjue kuna ndug/watu wanampandikiza maneno...
Hapana, agenda ya kuuza kwanza mie nilikua sina, nilitaka kujenga pale ili tupangishe kama hostel ya wanafunzi maana hiyo sehemu ipo jirani na chuo cha mzumbe cha tegeta pale. Lakini mdogo wangu akasema italeta shida mbeleni akasema bora tupauze kila mtu afe na chake.Kwa mtizamo huu ni kama vile agenda ya kuuza ni ya kwako wewe tu.
Ngoja mawazo yenu wadau niyafanyie kazi.Hata hiyo 10m alipaswa kuwashukuru, hiyo sio mali ya baba yake.
Ushauri wangu msimdhulumu huyo dogo haki ya mamake hapa duniani tunapita tu tunachoenda kaburini hakizidi milioni moja endapo tutaamua kutumia gharama kubwa sana. Tukumbuke kuwa huyu ni damu ya dada yenu ambaye ni ndugu yenu ana haki kama ilivyo kwenu na watoto wenu ama wake au waumeHapana, agenda ya kuuza kwanza mie nilikua sina, nilitaka kujenga pale ili tupangishe kama hostel ya wanafunzi maana hiyo sehemu ipo jirani na chuo cha mzumbe cha tegeta pale. Lakini mdogo wangu akasema italeta shida mbeleni akasema bora tupauze kila mtu afe na chake.
Upo sahihi mkuu.!Ushauri wangu msimdhulumu huyo dogo haki ya mamake hapa duniani tunapita tu tunachoenda kaburini hakizidi milioni moja endapo tutaamua kutumia gharama kubwa sana. Tukumbuke kuwa huyu ni damu ya dada yenu ambaye ni ndugu yenu ana haki kama ilivyo kwenu na watoto wenu ama wake au waume
Me sio mtu mzima...Mawazo yako ni mazuri lakini the way unavyoya deliver sio mazuri kwa lugha ya kiutuuzima
Kwa busara zilezile walizotumia kumshirikisha ... Wamfungulie akaunti yake ya fixed mpaka miaka yake hiyo anayoitaka ..atakuta imezalisha ....Namuelewa binti kwa niaba yake, nahisi sio kwamba hataki kiwanja kiuzwe sasa hivi, ila nahisi ana hofu na mgao mtakaompa. Ataweza vipi kutunza au kutumia kwa manufaa kulingana na umri wake, ndio maana ameomba baada ya miaka mitano, atakuwa angalau amekomaa kiakili na kufanya maamuzi sahihi.
Mleta mada ishi hapa.Yaani mjukuu anawazidi akili? Uzeni gawaneni fedha, yeye si ana Baba yake akadai urithi huko, hicho hakimuhusu...
Labda nikujuze kitu kimoja, ukifanya maamuzi ya pupa kwenye masuala ya mirathi inaleta shida kubwa, hilo la kwanza, la pili mimi sio mwanasheria sijui chochote kuhusu mambo ya mirathi na kwa sababu hiyo ndo maana wakawepo wanasheria. La nyongeza, binti yetu huyu elimu aliyonayo ni ndogo sana ukilinganisha na elimu yangu na ya mdogo wangu, na kuwa na elimu kubwa haimaanishi ndo kujua sheria, ndo maana unakuta mtu ni profesa lakini anakwambia ana mwanasheria wake. Nimeleta huu uzi kwa watu waliobobea kwenye masuala haya nipate moja mbili za kisheria. Maamuzi ya mihemko sio mazuriMtoto wa kiume unakuwa dhaifu dhaifu hivi ktk mambo ya usimamizi?
Mrithi alikuwa ni mama mtu na sio yeye. Na endapo mkaamua kumpa sehemu basi angalieni pia watoto wengine wa marehemu nao wapate. Chukua hiyo 10m igawe kwa watoto wengine wote wa marehemu maana wakijua mlimpa mmoja na wao hamjawapa inaweza ikaleta shida mbeleni.
Binti ameshajiona kasomi na mnamuogopa kwahiyo anajua kila anachosema basi ninyi mnahema.
Mkuu ubarikiwe Kwa kumjali mtoto wa ndugu Yako,ila kisheria huyo hahusiki, tena awe makini Kama si huruma ya ninyi wawili hapaswi kupata kitu,huyo mtoto ANa baba yake akadai urithi Kwa baba yake.Habari.!
Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.
Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.
Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja alifariki pia akaacha mtoto mmoja wa kike ambae yupo kidato cha sita. Kila mtoto ana mama yake.
Sasa kiwanja tunakiuza ili kila mmoja apate mgawo wake, sasa changamoto inakuja kwamba huyu mtoto wa dada yetu aliyefariki anapinga kisiuzwe tusubiri mpaka amalize masomo miaka mitano mbele huko.
Sasa je kisheria huyu mjukuu wa baba yetu ana nguvu ya kuzuia sisi tusiuze kiwanja? Maana kiwanja twauza 30m kila mtu atapata 10m. Kisheria imekaaje hii?